Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

... Kwanza nimeamka na furaha zangu, mambo zangu zimeenda swafi. ...
Unajua naogopa na kushangaa ninapoona JF IDs zilizosajiliwa kuanzia 2006-2009 zinaporomosha lugha za kuudhi namna hii. Najiuliza tena, sasa, wale Makapuku watajifunza nini kwenye JF IDs hizi nilizotaja?
===
Please, they are watching, do not feed you screen with 'grey and black water'!!.
 
Watu huwa wanamuonea Lemutuz tu. We ishukuru JF na hiyo avatar.😀

Kabisa we kaka wa Manka unaamini mimi ni kibabu?

Hebu nenda Macy’s ukamnunulie nephew wako crib....Manka is due in June..//
 
Hii ndio k
75236024386887e456f8597a488b96dd.jpg
 
Unajua naogopa na kushangaa ninapoona JF IDs zilizosajiliwa kuanzia 2006-2009 zinaporomosha lugha za kuudhi namna hii. Najiuliza tena, sasa, wale Makapuku watajifunza nini kwenye JF IDs hizi nilizotaja?
===
Please, they are watching, do not feed you screen with 'grey and black water'!!.
Pamoja mkuu.
 
Manka loves her babu
Uko kwenye mitandao toka mimi nazaliwa wewe babu. Unataka uitwe kijana. Self esteem yako inapanda ukitaja manka. Inaonyesha kutokana na uzee unarudi utotoni. Act your age babu.

Matter of fact uko kwenye mitandao kabla hata watanzania hawajajuwa mitandao ni nini halafu unasema eti wewe siyo kibabu? Nini kwenye hiyo kichwa yako ambayo ni mbovu?
 
Yaani mpaka ifike hatua uchumi uanze kutazamwa kwa macho mawili itakuwa ni muda sana, maana saivi naona ni vita dhidi ya mitazamo ya tofauti na serikali
 
Uko kwenye mitandao toka mimi nazaliwa wewe babu. Unataka uitwe kijana. Self esteem yako inapanda ukitaja manka. Inaonyesha kutokana na uzee unarudi utotoni. Act your age babu.

Matter of fact uko kwenye mitandao kabla hata watanzania hawajajuwa mitandao ni nini halafu unasema eti wewe siyo kibabu? Nini kwenye hiyo kichwa yako ambayo ni mbovu?

Ahahahaaaaa.

Manka loves it.

She rides it every night.

She’s expecting your nephew in June.

Manka baby!
 
Habari wana Jamii, poleni na majukumu na hongeeeni kwa kuuanza mwaka wa 2018.

FB_IMG_15149061608633944.jpg

Kauli ya Masuod Kipanya kwa njia ya kibonzo ina ukweli wowote?

Jana kabla ya Masoud kupatikana na kujitokeza huku akituthibitishia kuwa aliesambaza taarifa 'alisaidia "
IMG-20180101-WA0052.jpg

Jamiiforums walijitokeza na kituaminisha kuwa taarifa za Masoud siyo sahihi na mjada umefungwa.

Tumuamini nani?
Je kibonzo cha leo hapo kinachoonesha Jamii F0rum ikiwa imepigwa pingu ni kweli, na kinamanisha Jamiiforums siyo aehemu salaama tena?

Naomba nijibiwe,. Yote niliyouliza ni maswali it's not a savage statements.
 
Hiyo anayouliza kama atabaki salama ni ya mda kidogo kumbuka ishu ya jf inasumbuliwa hasa mkuu wetu M
 
Back
Top Bottom