Masoud Kipanya alimaanisha nini kwenye mchoro huu?

Masoud Kipanya alimaanisha nini kwenye mchoro huu?

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Nimeona mchoro huu nikajiuliza aliwaza nini kabla ya mdau kutoa ufafanuzi wake, Kama iko vivyo mdau alivyosema basi Kipanya ametukosea Sana watanzania, mtu akifa aachwe afe.

Kusema Samaia anajifunza ya JPM ni kukosea sana hasa ukisema anajifunza mabaya tu.

USSR​

IMG_20211001_100417.jpg
 
Huwezi kumfungia kirahisi hivyo! Yeye hajaongea chochote! Kila mtu anatafsiri yake!! Vipi mtu akiamua kuitafsiri ktk muktadha wa Simba na Yanga?
Mkuu,
Nikupongeze sana....hongera sana
 
Nimeona mchoro huu nikajuliza aliwaza nini kabla ya mdau kutoa ufafanuzi wake ,Kama iko vivyo mdau alivyosema basi kipanya ametukosea Sana watanzania ,mtu akifa aachwe afe...
Hii sanaa ngumu sana najua mleta mada huenda ulikuwa nguli wa physics na math pia ulijiita mgumu.
Hapo tuachie tulikuwa nguli wa kiswahili na historia tunaongea lugha moja na kipanya.
 
Kulingana na mchoro huu kwa hisani ya Masoud Kipanya, Chama chetu kiko katika hali mbaya sana.
Kwanza kinaongozwa na watu wawili,

mmoja yuko hai na mwingine ni marehemu ila ana nguvu za silaha, anakunywa damu na hasikii kilio cha wengine kwani kaweka headphones masikioni.

Kweli tumevurugwa, au nyie mwasemaje?

Mimi ndivyo nilivyo elewa wewe jee?

20211001_101817.jpg
 
Kulingana na mchoro huu kwa hisani ya Masoud Kipanya, Chama chetu kiko katika hali mbaya sana.
Kwanza kinaongozwa na watu wawili, mmoja yuko hai na mwingine ni marehemu ila ana nguvu za silaha, anakunywa damu na hasikii kilio cha wengine kwani kaweka headphones masikioni.
Kweli tumevurugwa, au nyie mwasemaje?
Mimi ndivyo nilivyo elewa wewe jee?View attachment 1959113
Skeletoni( Freemasonry), Bunduki( Ugaidi), kikombe cha damu( Mungiki)
 
Back
Top Bottom