Skeletoni( Freemasonry), Bunduki( Ugaidi), kikombe cha damu( MungikiCCM chama cha wauaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Skeletoni( Freemasonry), Bunduki( Ugaidi), kikombe cha damu( MungikiCCM chama cha wauaji.
picha au michoro waweza kuwa na tafsri anuai kulingana na mtazamaji ila hiyo ni tafsri yako kuwa ni jpm ya kwangu mimi ni kuwa anacheza na mtoa roho ama mauti ambaye ni chama chake mwenyewe na ameishiwa move ndo maana amejiinamiaNimeona mchoro huu nikajiuliza aliwaza nini kabla ya mdau kutoa ufafanuzi wake, Kama iko vivyo mdau alivyosema basi Kipanya ametukosea Sana watanzania, mtu akifa aachwe afe.
Kusema Samaia anajifunza ya JPM ni kukosea sana hasa ukisema anajifunza mabaya tu.
USSRView attachment 1959093
Pumbavuhuyu kipanya ni mchochezi na anatumika vibaya kwa masilahi ya tumbo lake.
tuna muonya atumie vizuri taaluma yake, asilewe misifa! ikajisahau.
Wajane wa Mwendawazimu mna ”GUBU” mno. Mnajua kafa na kuoza lakini hamtaki kuamini😄😄Nimeona mchoro huu nikajiuliza aliwaza nini kabla ya mdau kutoa ufafanuzi wake, Kama iko vivyo mdau alivyosema basi Kipanya ametukosea Sana watanzania, mtu akifa aachwe afe.
Kusema Samaia anajifunza ya JPM ni kukosea sana hasa ukisema anajifunza mabaya tu.
USSRView attachment 1959093
Umeziona kucha za mama pia?Mzimu wa magu unamsumbua mama balaa. Alafu hapo mama hana kete ya kucheza magu kashampiga pini [emoji2][emoji2]
Mama anaweza acheze wapi hapo. Popote analiwa na vibwengoNimeona mchoro huu nikajiuliza aliwaza nini kabla ya mdau kutoa ufafanuzi wake, Kama iko vivyo mdau alivyosema basi Kipanya ametukosea Sana watanzania, mtu akifa aachwe afe.
Kusema Samaia anajifunza ya JPM ni kukosea sana hasa ukisema anajifunza mabaya tu.
USSRView attachment 1959093
Wisk damu hiyoKwani JPM akivuta sigara? Hiyo wisk vip? Kofia kichwan inauhusiano gani na hayati.
Majibu yapo hapaNimeona mchoro huu nikajiuliza aliwaza nini kabla ya mdau kutoa ufafanuzi wake, Kama iko vivyo mdau alivyosema basi Kipanya ametukosea Sana watanzania, mtu akifa aachwe afe.
Kusema Samaia anajifunza ya JPM ni kukosea sana hasa ukisema anajifunza mabaya tu.
USSRView attachment 1959093
Hiyo rafiki yako kaelewa kivyakeNimeona mchoro huu nikajiuliza aliwaza nini kabla ya mdau kutoa ufafanuzi wake, Kama iko vivyo mdau alivyosema basi Kipanya ametukosea Sana watanzania, mtu akifa aachwe afe.
Kusema Samaia anajifunza ya JPM ni kukosea sana hasa ukisema anajifunza mabaya tu.
USSRView attachment 1959093
Kwanza ukimshtaki kesi itakuwa nyepesi mno na wewe uliyeshtaki utaangukia pua! Ila huyu Masood ni genius!Huwezi kumfungia kirahisi hivyo! Yeye hajaongea chochote! Kila mtu anatafsiri yake!! Vipi mtu akiamua kuitafsiri ktk muktadha wa Simba na Yanga?
Akisogeza tu kete inaliwa kichwa...hahaha,Kipanya bana.Hapo Miss Royal Tour kaisha maana jamaa limeweka kete zake kimtego sana zote za moto.