Mkuu,Huwezi kumfungia kirahisi hivyo! Yeye hajaongea chochote! Kila mtu anatafsiri yake!! Vipi mtu akiamua kuitafsiri ktk muktadha wa Simba na Yanga?
Hii sanaa ngumu sana najua mleta mada huenda ulikuwa nguli wa physics na math pia ulijiita mgumu.Nimeona mchoro huu nikajuliza aliwaza nini kabla ya mdau kutoa ufafanuzi wake ,Kama iko vivyo mdau alivyosema basi kipanya ametukosea Sana watanzania ,mtu akifa aachwe afe...
mipaka ipi?Huku ni kuvuka mipaka.Nchi imekuwa ya hovyo sana
What?Kulingana na mchoro huu kwa hisani ya Masoud Kipanya, Chama chetu kiko katika hali mbaya sana.
...
DUuuuuuh!! Ama kwelCCM chama cha wauaji.
Skeletoni( Freemasonry), Bunduki( Ugaidi), kikombe cha damu( Mungiki)Kulingana na mchoro huu kwa hisani ya Masoud Kipanya, Chama chetu kiko katika hali mbaya sana.
Kwanza kinaongozwa na watu wawili, mmoja yuko hai na mwingine ni marehemu ila ana nguvu za silaha, anakunywa damu na hasikii kilio cha wengine kwani kaweka headphones masikioni.
Kweli tumevurugwa, au nyie mwasemaje?
Mimi ndivyo nilivyo elewa wewe jee?View attachment 1959113
Kila kete atakayogusa atakula shabaHangaya hajui cha kufanya
Skeletoni( Freemasonry), Bunduki( Ugaidi), kikombe cha damu( MungikiVipi kile cha gaidi mbowe kule segerea
USSR