Masoud Kipanya amfungulia Mwijaku Kesi ya Madai ya Tsh. Bilioni 5 kwa kumtuhumu kufanya biashara haramu

Masoud Kipanya amfungulia Mwijaku Kesi ya Madai ya Tsh. Bilioni 5 kwa kumtuhumu kufanya biashara haramu

Sheria hiwa hazisemi hivyo mkuu. Unadhani wale ambao mali zao hupigwa minada huwa ni manachela pekee? Kuna watu walijsribu kuleta uhuni huo, yaani mali zilipokamatwa mke ndiyo akaenda kukataa mahakamani kwamba hatambui deni sababu hakuwahi kuambiwa na mali zinazokamatwa ni matrimonial properties, lakini wakaangukoa pua.


 
Mwanasheria Mshauri ameandika makala yenye elimu na mwongozo wa kisheria bila kurejea sheria wala hukumu yoyote ile.
Hao ndiyo wanasheria wetu na ndiyo maana watu wanaishia kuumizwa na kulizwa kila siku.
Kumbuka kufanya au kutofanya siyo issue, bali facts
 
Kuna vijana wa hovyo sana tumefanya makosa sana kuwapa nafasi ya kuwa sikiliza kwenye jamii yetu kwa siku za karibuni, matokeo yake ndiyo hayo. Wameenda mbali na kujifananinisha na mdudu chawa. Chawa/machawa sasa wamekua wanaropoka ropoka tu.Bado na yule mwingine sijuwi alipata vipi udiwani enzi hizo.
Babalevo alikuwaga na akili nzuri kidogo ila alivyo ingia jela akatoka shida ikaanza ..sijui jela walimfanya nini
 
Kwa waropokaji kama mwijaku wanatakiwa kufinywa hivo, toka marehem Membe amfinye musiba umeshamsikia tena akiropokwa ujinga
Ataropokaje wakati hizi ni zama nyingine,,,,kwani yale madai ya Membe nayo yaliishia wapi??
 
Watu humu mna mihemko sana
Hii kesi ni ndogo sana na ni ya kifamilia
Mnachotarajia kukiona au kusikia hamtakipata watu watakaa sebuleni watajadili na maisha yataendelea kwa amani kabisa na kuna baadhi ya maadui watajulikana kutokana na mihemko yao

Piga picha kwamba watu wenye mamlaka, maarufu na wenye pesa ni watu wako na ni watu wangu pia kinachotokea ni nini
Inapigwa simu mnaitwa majadiliano yanafanyika shughuli inaisha
Huwenda mwijaku akaomba samahani kama sehemu ya matumizi ya busara ili kumuosha huyo bwana lakini kama una akili endelea kuishi na maneno ya kwanza kuna asilimia kubwa kabisa yana ukweli ndani


Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Namshauri mwijaku akatoe maelezo sahihi juu ya biashara haramu anayo ifanya Kipanya ili hatua za kisheria zichukue hatua.

Lakini pia Jeshi la Polisi livhunguze kama tuhuma hizo zilizotolewa na Mwijaku zinaukweli, kama kuna ukweli basi kipanya ashitakiwe kwa jinai.
 
Pamoja na kipanya kufungua kesi kwa huyo mzee mtata hapo.

Dcae nao walale nao mbele ,
Wawaite mwijaku na huko kinyau wajieleze.
 
Na mke tutamchukua, kazidi sana kuvuka mipaka. Analeta kujuana hadi kwenye mambo hatarishi. Kashfa ya dili haramu sio nzuri kipanya

Na mke tutamchukua, kazidi sana kuvuka mipaka. Analeta kujuana hadi kwenye mambo hatarishi. Kashfa ya dili haramu sio nzuri kipanya akomae nae.
Tutamchangia mzee wa kula tunda kwa masihara akampige katelero mkewe tuko tayari kuchanga...Wanaume tunadharirishwa na hawa wanaume km mabinti bora tu ajitambulishe yy ni upinde tujue kaleft group kuliko kujiita mwanaume.
 
Mkuu, Kwani katika umiliki wa mali mfano hilo ghorofa umiliki si unasoma jina moja?
Ama inakuwaje?
hata kama lakini haliwezi kuuzwa. Nilishawahi kuwa shahidi kwenye kesi ya mkopo ambapo nyumba iliwekwa kuwa matrimonial home na benki ilishindwa kuuza hiyo nyumba.
 
Siku chache baada ya kusambaa taarifa zinazomuhusu Ali Masoud 'Masoud Kipanya' kwenye mitandao ya kijamii, Wakili Mwandamizi Alloyce Komba amesema wanakusudia kwenda mahakamani kudai fidia ya Sh5 bilioni.

Taarifa inayodaiwa kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii na Burton Mwemba maarufu 'Mwijaku' inaelezwa kuwa imemkashfu na kumshushia heshima Masoud.

Akizungumza na wanahabari leo Jumamosi Juni 15, 2024 Komba anayemwakilisha Masoud amesema maneno yaliyosambazwa na Mwijaku ni ya uongo na ya kashfa dhidi ya mteja wake.

Ikumbukwe siku kadhaa zilizopita kupitia kurasa za mitandao za kijamii Mwijaku alichapisha maneno yenye jumbe za kumtaka Masoud Kipanya aweze kumuacha na maisha yake na kumtuhumu kwa kufanya bishara haramu.

Chanzo: mwanaspoti_tz

Mkiwa mnaambiwa Bange si ya kuvuta Kila Mtu huwa hamtaki kusikia Ushauri wetu. Sasa umeyakanyaga Mwenyewe.

Pia soma: Masoud Kipanya amfungulia Mwijaku Kesi ya Madai ya Tsh. Bilioni 5 kwa kumtuhumu kufanya biashara haramu
 
Baada ya kurudi kwao
tapatalk_1717693197471.jpeg
 
Hilo sahau, hapo itabaki vita ya maboss watakaa wayamalize kimyakimya.

Hata lile sakata la kumtukana Maua Sama liliisha kimyakimya watu wakabaki wanashangaa
 
Back
Top Bottom