funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,624
- 21,362
na wewe hesabu zimekupita mbali sana mtu wa 88 kwa sasa ana miaka 30 sio 40 ila Masoud kazaliwa nadhani 1968MASOUD KAZALIWA 88
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na wewe hesabu zimekupita mbali sana mtu wa 88 kwa sasa ana miaka 30 sio 40 ila Masoud kazaliwa nadhani 1968MASOUD KAZALIWA 88
72na wewe hesabu zimekupita mbali sana mtu wa 88 kwa sasa ana miaka 30 sio 40 ila Masoud kazaliwa nadhani 1968
na ghorofa analo kitambo anakazi kibaoHabari yenu wakuu,
View attachment 686139
Mimi nmeanzisha hii thread kutaka kujua ni biashara gani huyu Masoud Kipanya anafanya Mjini Dar. Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi.
Juzi kati alinipita na gari la kifahari la aina yake, nikajaribu kumpiga picha akaniacha alikuwa speed. Sasa leo nimemuona nikamzoom akaingia kati nikamfotoa kwa mbali.
Je katuni zinalipa kiasi hicho? Au naye ana wafadhili? Mbona hajioneshi kama anahela za kununua magari ya kifisadi?
Mwenye kujua katoa wapi hela. Au Mambosasa amuite amhoji tujue.
Juzi kati alitekwa. Hajasema kwanini alitekwa, hajasema walikuwa wanamdai nini wala hajasema amewapa nini wakamuachia.
wacha uongona wewe hesabu zimekupita mbali sana mtu wa 88 kwa sasa ana miaka 30 sio 40 ila Masoud kazaliwa nadhani 1968
Mleta mada unatia aibu sana naomba usiwe mkazi was DSM maana nyie ndio mnaotudhalilisha wana dsmHabari yenu wakuu,
View attachment 686139
Mimi nmeanzisha hii thread kutaka kujua ni biashara gani huyu Masoud Kipanya anafanya Mjini Dar. Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi.
Juzi kati alinipita na gari la kifahari la aina yake, nikajaribu kumpiga picha akaniacha alikuwa speed. Sasa leo nimemuona nikamzoom akaingia kati nikamfotoa kwa mbali.
Je katuni zinalipa kiasi hicho? Au naye ana wafadhili? Mbona hajioneshi kama anahela za kununua magari ya kifisadi?
Mwenye kujua katoa wapi hela. Au Mambosasa amuite amhoji tujue.
Juzi kati alitekwa. Hajasema kwanini alitekwa, hajasema walikuwa wanamdai nini wala hajasema amewapa nini wakamuachia.
jumlisha na akili zake lazima awe na hammer aisee wacheni kudhani kwavile nyie hamtaki kujishughulisha na wenzenu wako kama nyie umbea ndo kazi hapo ulipo una kasuruale kamoja na tecno m3 unamjadili mwanamume mwenzio ambae anajibidisha kupata maisha yake hehehe stori za vijana wa kitanzania ni pumba tupuHahahahaha kupata vichekesho kama hivyo andik Mtulia kisha tuma 23344.... Yaani fedha za katuni au maisha plus zinunue hammer hahahaha...
Infact, Mwananchi jamaa analipwa laki 8. Clouds 1.5... Maisha plus ilikufa longtime ago... Kilimo kamuulize millionea Sumry habari za kilimo, then ndio urudi tena
Kufuatilia maisha ya mtu kwa juu juu ni moja ya part ya motivation, siyo kwa ubaya. [emoji23]Mnatoa wapi muda wa kufuatilia maisha ya watu nyie au mnalipwa kwa kufanya hivyo?
Laiti ningekuwa na huo muda ningefuatilia yenu mnaofuatilia watu.
Kwa kuuza ubuyu au anakudhalilisha kivipi?Mleta mada unatia aibu sana naomba usiwe mkazi was DSM maana nyie ndio mnaotudhalilisha wana dsm
umri wake ni miaka 46 but gari hili hata mimi namashaka naye coz wachoraji wapo kibao but si kwa gari hili pengine naye mpenda sifa anaazimaNadhani kiumri yupo 40+ so kumuita mtoto mdogo unakosea mzazi!
Una lako jambo....Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi. Kama Masoud kwako ni Mtoto Mdogo, Mkuu utakuwa Mtu mzima sana!
This is jf, the home of great thinkers. Yani nimecheka kwa sauti munoooHuyo Mambosasa unayemuita angekuja kwanza kutolea maelezo juu ya 'umiliki' wa Mambosasa hotels ya Sinza na kwingineko. Je ni za kwake au tu majina yamefanana?
Kwa kweli nimekuwa highly disturbed na hali ya afya ya akili zako kwa maana ya psychological state of your mind. Umefikaje huko na nini kusudio lako katika hii post? You need help brother!Habari yenu wakuu,