Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

Naye sianataka kufahamu afwate nyayo! Sio dhambi
Ye mda wake umeshapita maana anasema yy ni mkubwa kuliko kipanya..kama hajafanyaga enzi izo its all over..kipanya kaanza hadly hustling from early 90's..
 
Hapo ndio sawa na ule msemo wa kukumbuka shuka asubuhi
 
Kumbe watu wengi jf ni fukara fukara sijaona wanaioinanadi kuendesha hummer n.a. magari mengine mazito
 
Yale Yale ya mh na majaji Mimi simo acha nipambanie khali yangu
 
Back
Top Bottom