Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

na ghorofa analo kitambo anakazi kibao
 
Mleta mada unatia aibu sana naomba usiwe mkazi was DSM maana nyie ndio mnaotudhalilisha wana dsm
 
jumlisha na akili zake lazima awe na hammer aisee wacheni kudhani kwavile nyie hamtaki kujishughulisha na wenzenu wako kama nyie umbea ndo kazi hapo ulipo una kasuruale kamoja na tecno m3 unamjadili mwanamume mwenzio ambae anajibidisha kupata maisha yake hehehe stori za vijana wa kitanzania ni pumba tupu
 
Mnatoa wapi muda wa kufuatilia maisha ya watu nyie au mnalipwa kwa kufanya hivyo?

Laiti ningekuwa na huo muda ningefuatilia yenu mnaofuatilia watu.
Kufuatilia maisha ya mtu kwa juu juu ni moja ya part ya motivation, siyo kwa ubaya. [emoji23]
 
Itakuwa wewe ni mgeni sana na hupaswi kumuita masoud mtoto mdogo hata kidogo. Jamaa kaanza hustle kitambo sana kipindi ana duka la nguo la KP COLLECTION enzi hizo anawavalisha mastar kibao. In short yule jamaa hategemei katuni wala utangazaji kuishi mjini
 
Pesa na umri nivitu visibyoendana kabsa hasa kwazama hizi ambazo vjana ndowapo vzur kuliko wazee

Pia unaonekana mshamba mshamba sana hata kwahivi vgar vya milion mia kadhaa tu ndoubabaike kias hicho
 
Sikujua kama huu uzi una page nyingi hivi, ngoja nkalete kahawa maana naona story nyingi [emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
Nadhani kiumri yupo 40+ so kumuita mtoto mdogo unakosea mzazi!
umri wake ni miaka 46 but gari hili hata mimi namashaka naye coz wachoraji wapo kibao but si kwa gari hili pengine naye mpenda sifa anaazima
 
....Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi. Kama Masoud kwako ni Mtoto Mdogo, Mkuu utakuwa Mtu mzima sana!
Una lako jambo
 
Kwa kukusaidia tu masoud kipanya ni mchora katuni wa kwanza kuendesha Benz miaka ya 2000 nchi hii
 
Duh huo unafiki wa hali ya juu mpaka ulikuwa na muda wa kupiga gari picha.
 
Kwa kweli nimekuwa highly disturbed na hali ya afya ya akili zako kwa maana ya psychological state of your mind. Umefikaje huko na nini kusudio lako katika hii post? You need help brother!
 
huu uzi wachangiaji karibu wote ni wana dar es salaam, kazi kutupiana vijembe tu, hamna hata la maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…