Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

Alikuaga na program ya maisha plus na wazamini walikua ni makampuni ya sim. Wapo watu wanaendesha familia na kusomesha watoto kwa katuni tu. Mmojawapo nayemjua ni Marco Tibasima, Shaurikati, Mustafa samuya n.k
 
Hummer siyo gari ya kifahari kihivyo, kama ukiweza kununua RAV2 unaweza pia kununua Hummer iliyotumika, na kuiwekea Mafuta siyo ishu unaweza kuitumia mara 2 kwa wiki!

ya bei mbaya

hebu nunua na wewe
unajua linakula lita ngapi per km?
gari zuri na la usalama kwa mtumiaji
 
Baada ya kulalamika kuona hajamiliki hata Private Jet yake kama mastaa wa Ulaya wewe unalalamikia Hammer. Sasa ukiitwa Shithole nani alaumiweee.
 
Ninyi ndio mnaharibu maudhui ya JF haikuanzishwa kwa ajiri ya UMBEA
 
Ukiwa masikini utasemwa, ukiwa tajiri/ukiweza badili maisha watakusema pia, afu si kwa mazuri bali mabaya
 
Mleta Uzi Umejianika ulivyo Masikini huko Uliko....na Haijalishi wewe Utakuwa Unamiliki mali kiasi gani Lkn WEWE NI MASIKINI na FUKARA
 


gari la kifahari mbona silioni?
 
maisha mazuri hayataki haraka na misha mabaya yanataka haraka!
 
akili za kimasikini hizi...
na nimegundua wabongo wengi pamoja na utandawazi wote wanaoudandia bado ni WASHAMBA wakubwa!!
 
Kipanaya kaanza long time kwa kuhisi hisi mali zinafanananae ila bashite yule wamakonda tungeanzia hapo
 
Hata jina lake tu hamfahamu alafu unawezaje kutambua kwamba anapata wapi pesa? Ali Masoud | Kipanya endelea kutengeneza pesa!
 
Una hilo tu au masoud najua ana yard ya magari jangwani toto kanko kitu kama hichi lbda ww umekuja mjini juzi kutoka kolomije ndio.mnaofnya kumbi za stareh kutufungia saa 6
Aisee
Ile yard ni yake hongera zake anastahili
 
Mkuu why do you follow-follow other people's lives such maniacally? Bila shaka wewe utakuwa KE maana akina KE ndio hupenda kufuatilia maisha ya watu kiqumer kama hivi!!!!
 
Hiyo ni hoja au kihoja? huwezi kuwa mwanaume halafu unafuatilia mambo ya watu wengine,
Kweli kabisa mkuu...na hii hoja naomba Moderator ama aiMOVE kwenda chitchat au MMU kwani imekaa KIKE (kiumbeya) zaidi. Ni aibu kwa mwanaume kijadili maendeleo ya mwanaume mwenzake badala ya kufaiti kiume ili amfikie kimaendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…