Hummer kiongozi.Humvee?Ni gari aina gani hii mkuu.
Nahisi itakua hybrid version ya zile gari zetu za Nyumbu
Sawa mkuu.Hummer kiongozi.
Naye sianataka kufahamu afwate nyayo! Sio dhambiPambana mwanaume na si kutaka kujua mwanaume mwenzio kapata wapi hela za kununua magari ya kifahari
Ye mda wake umeshapita maana anasema yy ni mkubwa kuliko kipanya..kama hajafanyaga enzi izo its all over..kipanya kaanza hadly hustling from early 90's..Naye sianataka kufahamu afwate nyayo! Sio dhambi
Hapo ndio sawa na ule msemo wa kukumbuka shuka asubuhiYe mda wake umeshapita maana anasema yy ni mkubwa kuliko kipanya..kama hajafanyaga enzi izo its all over..kipanya kaanza hadly hustling from early 90's..
Uard inawezekana ikawa yake ila mali ilioko ndani ya yard ikawa sio yakeAisee
Ile yard ni yake hongera zake anastahili