Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

Anawashwa hadi kusiko julikana. Mgeni mjini huyo. Kipanya si wa leo wala jana, na kwa taarifa yako ni mpambanaji.
 
Habari yanu wakuu,
451e568b551fb912713d1d546e48f261.jpg

Mimi nmeanzisha hii thread kutaka kujua ni biashara gani huyu Masoud Kpanya anafanya Mjini Dar. Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi.

Juzi kati alinipita na gari la kifahari la aina yake, nikajaribu kumpiga picha akaniacha alikuwa speed. Sasa leo nmemuona nikamzoom akaingia kati nikamfotoa kwa mbali.

Je katuni zinalipa kiasi hicho? Au naye ana wafadhili? Mbona hajioneshi kama anahela za kununua magari ya kifisadi?

Mwenye kujua katoa wapi hela. Au Mambosasa amuite amhoji tujue.

Juzi kati alitekwa. Hajasema kwanini alitekwa, hajasema walikuwa wanamdai nini wala hajasema amewapa nini wakamuachia.
Hiyo hammer ni ya mzee mmoja anaitwa Sanga
 
Masoud si kijana ni mtu wa makamo na ni mtafutaji, mbunifu, mcha Mungu, na mwenye kujitoa kusaidia wengine. Tuache majungu kuchunguza maisha ya watu. Hii tabia ni ya watu wavivu wafikra chanya wanaosubiri fulani ashindwe waanze kumsema vijiweni. Big up Masoud.
 
Masoud na Mwananchi ni sehemu tu ya kazi zake za katuni lakini kazi yake kubwa na pengine inayomuingizia kipato zaidi kwa upande wa katuni ni illustrations ya projects mbalimbali na hizi projects huwa anafanya na mashirika ya kimataifa yanayothamini kazi za sanaa!!

Btw, Masoud ni mid 40's na hivi sasa anaitafuta 50. Sasa hivi mtu wa mid 40's anastahili kuwa kundi la watoto wakati hata kwenye kundi la vijana ameshapita?!
 
Umesema Masoud Kipanya ni mtoto mdogo??? Hivi pale alipo na 37-40 bado ni mdogo?

Watu wana-hustle aisee, Ww km hujaweza kumilili Mali za kifahari shauri zako, utaendelea kuwafukuzia wenzio uwapige picha mpaka uote vigimbi!
He's 45 anaenda 46 in few months... ni vile tu kajaaliwa mwili mzuri!
 
Habari yanu wakuu,
451e568b551fb912713d1d546e48f261.jpg

Mimi nmeanzisha hii thread kutaka kujua ni biashara gani huyu Masoud Kpanya anafanya Mjini Dar. Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi.

Juzi kati alinipita na gari la kifahari la aina yake, nikajaribu kumpiga picha akaniacha alikuwa speed. Sasa leo nmemuona nikamzoom akaingia kati nikamfotoa kwa mbali.

Je katuni zinalipa kiasi hicho? Au naye ana wafadhili? Mbona hajioneshi kama anahela za kununua magari ya kifisadi?

Mwenye kujua katoa wapi hela. Au Mambosasa amuite amhoji tujue.

Juzi kati alitekwa. Hajasema kwanini alitekwa, hajasema walikuwa wanamdai nini wala hajasema amewapa nini wakamuachia.
Unafikiri kuchora katuni ni biashara ndogo?
 
Ana mambo na miradi mingi sana town;
1, Program ya maisha plus ilimpa hela nyingi
2, Katuni zake zinamuingizie hela kibao
3, Ni moja ya watangazaji ghali tz
4, Amewekeza kwenye kilimo pia
5, Ana yard ya magar nk.
Sasa mwenzangu na mm utegemee kamshahara ka scale E au D ufikirie kudrive Hummer?

Exactly you seem to be very curious in town. Mwaaaaa
 
Kuwa na gari kama hiyo Hummer H2 lengo ni kuonyesha social status yako ipo juu enzi hizo. Lkn kwa vile Hummer H2 ni ya zamani na imepitwa na wakati inabaki kuwa burudani aka amusement tu kwa watazamaji mitaani na siyo status symbol tena.
 
hiyo gar ya 30M ndo unaona ni kali?
Hizo gari watu wanaziuza wengi tu,
sio rafiki kiuchumi pale utakapokuwa nalo na vyuma kukaza.
 
Una hilo tu au masoud najua ana yard ya magari jangwani toto kanko kitu kama hichi lbda ww umekuja mjini juzi kutoka kolomije ndio.mnaofnya kumbi za stareh kutufungia saa 6
Si kweli tunamjua Kipanya mganga njaa tu sema mkewe ndie anazo
 
Back
Top Bottom