Hiyo hammer ni ya mzee mmoja anaitwa SangaHabari yanu wakuu,
Mimi nmeanzisha hii thread kutaka kujua ni biashara gani huyu Masoud Kpanya anafanya Mjini Dar. Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi.
Juzi kati alinipita na gari la kifahari la aina yake, nikajaribu kumpiga picha akaniacha alikuwa speed. Sasa leo nmemuona nikamzoom akaingia kati nikamfotoa kwa mbali.
Je katuni zinalipa kiasi hicho? Au naye ana wafadhili? Mbona hajioneshi kama anahela za kununua magari ya kifisadi?
Mwenye kujua katoa wapi hela. Au Mambosasa amuite amhoji tujue.
Juzi kati alitekwa. Hajasema kwanini alitekwa, hajasema walikuwa wanamdai nini wala hajasema amewapa nini wakamuachia.
He's 45 anaenda 46 in few months... ni vile tu kajaaliwa mwili mzuri!Umesema Masoud Kipanya ni mtoto mdogo??? Hivi pale alipo na 37-40 bado ni mdogo?
Watu wana-hustle aisee, Ww km hujaweza kumilili Mali za kifahari shauri zako, utaendelea kuwafukuzia wenzio uwapige picha mpaka uote vigimbi!
Hummer siyo gari ya kifahari kihivyo, kama ukiweza kununua RAV2 unaweza pia kununua Hummer iliyotumika, na kuiwekea Mafuta siyo ishu unaweza kuitumia mara 2 kwa wiki!
Unafikiri kuchora katuni ni biashara ndogo?Habari yanu wakuu,
Mimi nmeanzisha hii thread kutaka kujua ni biashara gani huyu Masoud Kpanya anafanya Mjini Dar. Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi.
Juzi kati alinipita na gari la kifahari la aina yake, nikajaribu kumpiga picha akaniacha alikuwa speed. Sasa leo nmemuona nikamzoom akaingia kati nikamfotoa kwa mbali.
Je katuni zinalipa kiasi hicho? Au naye ana wafadhili? Mbona hajioneshi kama anahela za kununua magari ya kifisadi?
Mwenye kujua katoa wapi hela. Au Mambosasa amuite amhoji tujue.
Juzi kati alitekwa. Hajasema kwanini alitekwa, hajasema walikuwa wanamdai nini wala hajasema amewapa nini wakamuachia.
Yes mkuu bado Sana tu,but sii sawa kumuita mtotoMaisha ya kibongo 40+ na kidogo bado mkuu
Ana mambo na miradi mingi sana town;
1, Program ya maisha plus ilimpa hela nyingi
2, Katuni zake zinamuingizie hela kibao
3, Ni moja ya watangazaji ghali tz
4, Amewekeza kwenye kilimo pia
5, Ana yard ya magar nk.
Sasa mwenzangu na mm utegemee kamshahara ka scale E au D ufikirie kudrive Hummer?
Si kweli tunamjua Kipanya mganga njaa tu sema mkewe ndie anazoUna hilo tu au masoud najua ana yard ya magari jangwani toto kanko kitu kama hichi lbda ww umekuja mjini juzi kutoka kolomije ndio.mnaofnya kumbi za stareh kutufungia saa 6