Masoud Kipanya aongeza mke wa nne

Hizo ni tamaa tu hata kama dini inalihusu lakin mazingira yamebadilika .Hata Huko Uarabuni vijana wengi wa huko Sasa hivi wanaoa mwanamke mmoja tu.Kuoa wanawake wengi ni migogoro katika familia .Sawa ana uwezo wa kuwahudumia na ni maisha yake lakini sio mfano wa kuigwa katika jamaii .Ingekua vizuri Sana nisikie Kipanya kafungua kampuni na sio kuongeza mke wa nne.
 
Mitume na manabii walikua na wake zaidi ya wanne.

Unapata wapi Nguvu ya kupingana na vitabu vyako vya dini dada rebbeca
Ni kweli lakini kumbuka mazingira yamebadilika sio kama ya wakati huo. Leo hii warabu wengi ambao ni waisalam wanaoa mwanamke mmoja tu vp hujiulizi ni kwa nini? Nyakati za manabii wanawake walikua ni kwa ajili ya kuwahudumia wanaume wao tu na kipindi hicho mfumo dime tu ndo ilikuwepo lakini Leo hii Kuna kitu kinaitwa haki sawa vipi huoni ni kutafuta matatizo tu?
 
Sikiliza zamani mtu anatoa wanawake 4 au zaidi lakini wanakaa nyumba moja tu hivo ilikua rahisi Sana kuwapa malezi mazuri watoto watakaozaliwa. Na pia kumbuka ndoa sio kufanya mapenzi tu, kwa Hilo kabugi na ukumbuke hakuna mwanamke anaependa ukewenza sema ni umasikini wa hao wanawake ndo umewapekea kuolewa hivyo.
 
Ah hao wapuuzi yaani umefanya la maana kuwabwaga. Raha ya kuwa na wake wengi ni kwamba kulia kushoto umezungukwa na mbususu na matiti moto moto
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] duuh you guy this is too much
 
Kikubwa ni wivu na chuki ya dini ya kiislamu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] duuh you guy this is too much
Well thats the truth...sasa unakuwa na wake wengi ili iwaje...sii ili uzungukwe na mbususu na matiti. Just imagine thre or four women just devouring ur 🍆 as u watch 🍑s jiggle infront of. There is no bwtter feeling than that...women worshiping ur d.ick. thats the apex of mans satisfaction
 
Kipanya na Kitenge wanafanana na nick names zao. Unakaaje na wanawake wanne tena waswahili? Kuna watu wamechagua kuharakisha vifo vyao aisee!
 
Mzee wa kugegeda. Jamaa unapenda mbunye kupitiliza yaani.
 
Safi sana. Ataishi maisha marefu sana. Kuwa na Mke mmoja bila hata mchepuko ni kujitafutia stress tu na kukaribisha magonjwa yasiyoambukiza kama pressure, kisukari, moyo kuwa mkubwa n.k
Baada ya kusoma hapa, nimemkumbuka mdogo wangu, Diamond na Ali Kiba, hivi wao wana wake wangapi vile???!!!
Hili Swala kwa dini ya Islam, inaelekea ni zaidi ya kupunguza stress, ni kama Sunna, kama vile kwenda kuhiji mecca na medina,
 
Mungu alimpatia Adamu msaidizi na si wasaidizi huku ni kuzini kwa kuitumia kichaka Cha dini.
Umesahau Nabii Daud na Suleiman walikuwa na wake wangapi?. Ukitaka reference za manabii basi kulikuwa na hiyari ama mmoja au zaidi na ndio maumbile ya kiume yalivyo. Kuna wanaomudu mmoja tu ama zaidi
 
Hapo ndipo huwa nadharau uislamu! Yaani ukiona tamaa tu unaongeza kuoa au unatoa talaka uoe tena. Maisha yanaisha tamaa haziishi. Yaani dini na uchafu uchafu tuuuu
We fisi umeshaoa?. Unajua kero ya kuwa na mke mmoja tu?. Wakristo wenye kuelewa suala la kuoa zaidi ya mke mmoja ndio wanalikubali mno ktk uislam.
 

Na kaukaribisha umaskini uliotukuka walahi
 
Mwanamke ni chombo cha starehee
Kwanza mwanamme hutakiwi kuweka usawa na wanawake!

Kazi za Mwanamke ni mbili tuu!
1. Kuprovide Sex
2.Kuzaa

Nothing less nothing more!

Naumia sana hata kuongozwa na hawa Watu!

Wanawake wote mtaani hawataki kutawaliwa na Mwanamke mwenzao!

Wanaomshangilia huyo mama ni hao kina Ummy tuu ila hata wao wanajua mwanamke ni Mwoga/ Na hawanaga Vision

“Oi Kikwete Na wanaume wengine huko juu Do something “
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…