Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 1,628
- 2,720
Suala la kuchukia "Mathna" kwa Wanawake wengi ni kutokana na wivu tu, na hili halimaanishi kwamba hawapendi Uislam. Wakieleweshwa wanaelewa kabisa. Wapo baadhi ya Wanawake huwahimiza hasa waume zao waongeze (baadhi yao kutokana na Imani zao kuwa kubwa zaidi). Hiyo ya Umasikini fanya utafiti wako vizuri. Wapo wanawake wala sio masikini na wanaolewa "Mathna" au wanahimiza waume zao waoe zaidi.kwa Hilo kabugi na ukumbuke hakuna mwanamke anaependa ukewenza sema ni umasikini wa hao wanawake ndo umewapekea kuolewa hivyo.