Masoud Kipanya aongeza mke wa nne

Masoud Kipanya aongeza mke wa nne

Uki soma vitabu vya Mfalume Suleiman uta ana sema kabisa yote aliyo fanya ni "utupu na kujilisha upepo" yani ana juta, ana hakuona faida yoyote ya kua na wake wengi.

Kwenye ulimwengu wa kistaarabu tu kuwa na wanawake wanne ni ubatili. Yani hisia zime zidi ufahamu wako ama zime kutawala.
Kuna tofauti Gani na kuwa na michepuko minne? Kipi ni Hatari zaidi?
 
Wengi humfahamu kwa jina la Masoud Kipanya, lakini hilo si jina lake halisi, tunaweza kusema hilo ni jina lake la sanaa kwani limetokana na na katuni za Kipanya ambazo huwa anachora.

Jina lake ni Ali Masoud, jina la Kipanya ni matokeo ya katuni ya Kipanya aliyoibuni zaidi ya miaka 28 iliyopita. Alizaliwa tareha 23 Juni 1972 jijini Dar es salaam.

Kipanya alianza kuchora katuni akiwa darasa la pili, na alianza kwa kuiga tu katuni za ndani na za nje kama ilivyo kawaida kwa yoyote anayeanza kufanya kitu, ila ‘professionally’ alianza rasmi mwaka 1988, huo ndio mwaka ambao katuni yake ya kwanza ilitoka katika gazeti la Heko.

Hatimaye kapata mke wa nne

View attachment 2091463

View attachment 2091464

View attachment 2091465

View attachment 2091466
Kipanya kama Kitenge kwenye ubora wao wa kuoa wanawake wengi utadhani wanaishi zama za mawe, kumbukeni mkiondoka duniani mnacha dhahama kwa mlio waacha.
 
yaani unaoa unapotimiza miaka 50. kwa kawaida mwanaume jinsi anavyozidi kuzeeka ndivyo nguvu za kiume zinapungua. hivi kweli mwanaume wa miaka 50 anaweza kuchapa wanawake wanne na kuwaridhisha? tuwe wakweli, au anaolea wenzake?
 
Mke wa Kwanza ambaye alikuwa mama wa Marehemu Malcolm (sijui kama spelling ziko Sawa) walitalikiana miaka mingi mno. Walishirikiana tu kumlea mtoto mpaka alipofariki. Mke wa pili na wa tatu hatujui Ila inaelekea hawakujulishwa kuhusu ongezeko la mke maana mmoja alisema naye alishangaa kuona picha mitandaoni Tu. Hivyo tegemea twimbwili huko na huenda wakabwaga manyanga. Kifupi hakuna mwanamke anayependa Ku share mapenzi hata kama dini zinaruhusu. Hiyo ndiyo Hali halisi.
Tena ikizingatiwa Kipanya amemuoa binti mdogo ambaye alikuwa ni rafiki wa Malcolm au pengine ndiyo gear walitumia kufucha urafiki wao.
 
Kuoa MKE mmoja Ni ulemavu wa viungo vya uzazi[emoji4]
Sasa mbn kitakwimu 90% mna mke mmoja hamuoni kama ni unaa tu huo?acheni ghiliba zenu.Waislam bhana niwajuavyo watasema ''kuna masharti'' yake yakhe,Mara kuwatunza,kuwahudumia je nyie wenye mke mmoja jogoo hawezi ku stand firm nini?angalau Masoud umeonesha mfano kwa allah wengine ni ushabiki tu.
 
Fact ni kwamba ili wanawake wote duniani wapate waume ni lazima angalau kila mwanaume aowe wastani wa wake si chini ya watano.

Kwanza unafahamu fact hizi? acha ubinafsi.
Sasa mbn akina Masoud wanaona visu tupu wabaya ataoa nani?!
 
Halafu tunalalamika kwanini Sisi ni maskini.
Wewe ndio unalalamika mkuu au kuna watu wako humu umewajumuisha??.

Jamaa anajiweza vizuri tu! Mara ya kwanza kukutana nae alikuwa anamiliki SuV kali nyeusi ndio zilikuwa zinatamba kipindi kile..

Kitu black metallic ukiitizama gari unajiona kama kioo jinsi inavyong'aa hatare sana kwa kweli
 
Huwa nawaelewa Waislam kwenye kipengele hiki tu. Huko kwingine kote huwa naona nyota nyota 🌟✨💥⭐ tu.
 
Kwa hiyo utaratibu ni kwamba kila mke umpangie siku yake yeye peke? Kama ndio hivyo basi kumbe hamna faida yoyote ile hapo in my humble opinion
kwa maana nyingine, ukiwa na wake wanne, unapanga kama ifuatavyo:-]
1. wiki la kwanza la mwezi, kwa mke mkubwa. jiulize kama utanjunju siku saba zote ukizingatia amekusubiri wiki tatu zilizopita.

2. wiki la pili kwa mke wa pili. je? utanjunu siku zote saba? ikizingatia amekusubiria wiki tatu kwenye mzunguko.

3. wiki la tatu kwa mke wa tatu..the same applies.

4. wiki la nne unamalizia kwa mke mdogo, tena mwenye umri mdogo kuliko wote, hataki kimoja, anataka vya kueleweka. na wewe umechoka wiki tatu zilizopita umechoshwa na wake watatu wakubwa zake. swali la kujiuliza, kuna mwanamke aliyeolewa atakusubiri wiki tatu nzimba ili zamu yake ifike, wakati anajua wewe upo hapahapa mjini na unafanya ngono na wenzake? asilimia kubwa lazima watachepuka. pia, wanaume huwa tunapenda sana ngono, lakini kuna wakati inakuchosha hasa ukizingatia maisha ya siku hizi kazi nyingi, stress za kazini, kutafuta pesa n.k, uwezo wetu wa kufanya ngono mfulilizo mwezi mzima tena kwa wanawake wenye hamu za kutosha walikokuwa wanakusubiria wiki tatu nzima kwenye mzunguko wa zamu, lazima uzeeke mapema au la, unawatesa wanawake zako kwasababu inawezekana usiwamudu wote na kuwaridhisha au inawezekana wakachepuka mkasambaziana magonjwa ninyi wote watano. mwanamke mmoja tu watu wanaoa lakini kila kukichwa wanalalamika hawaridhishwi, hivi wanawake wanne ndio wataridhishwa? unaishi kwa kufanya mapenzi tu huwazi wala kufanya shughuli zingine za kiuchumi?
 
kwa maana nyingine, ukiwa na wake wanne, unapanga kama ifuatavyo:-]
1. wiki la kwanza la mwezi, kwa mke mkubwa. jiulize kama utanjunju siku saba zote ukizingatia amekusubiri wiki tatu zilizopita.

2. wiki la pili kwa mke wa pili. je? utanjunu siku zote saba? ikizingatia amekusubiria wiki tatu kwenye mzunguko.

3. wiki la tatu kwa mke wa tatu..the same applies.

4. wiki la nne unamalizia kwa mke mdogo, tena mwenye umri mdogo kuliko wote, hataki kimoja, anataka vya kueleweka. na wewe umechoka wiki tatu zilizopita umechoshwa na wake watatu wakubwa zake. swali la kujiuliza, kuna mwanamke aliyeolewa atakusubiri wiki tatu nzimba ili zamu yake ifike, wakati anajua wewe upo hapahapa mjini na unafanya ngono na wenzake? asilimia kubwa lazima watachepuka. pia, wanaume huwa tunapenda sana ngono, lakini kuna wakati inakuchosha hasa ukizingatia maisha ya siku hizi kazi nyingi, stress za kazini, kutafuta pesa n.k, uwezo wetu wa kufanya ngono mfulilizo mwezi mzima tena kwa wanawake wenye hamu za kutosha walikokuwa wanakusubiria wiki tatu nzima kwenye mzunguko wa zamu, lazima uzeeke mapema au la, unawatesa wanawake zako kwasababu inawezekana usiwamudu wote na kuwaridhisha au inawezekana wakachepuka mkasambaziana magonjwa ninyi wote watano. mwanamke mmoja tu watu wanaoa lakini kila kukichwa wanalalamika hawaridhishwi, hivi wanawake wanne ndio wataridhishwa? unaishi kwa kufanya mapenzi tu huwazi wala kufanya shughuli zingine za kiuchumi.
Ndio maana nikasema kuwa kama mpangilio wenyewe ndio huo basi hauna maana kwangu mie. Raha ya wake wengi mlale kitanda kimoja wote mkiwa uchi anayetaka anacheza na 🍆 mie nacheza na matiti ya mwengine. Sio kumsubirisha mwanamke wiki tatu zote
 
akiwa na mke wa kwanza....

mke wa pili watatu na wanne wanakamuliwa

akienda kwa wa pili.... wa kwanza, watatu na wa nne wanakamuliwa

akienda kwa watatu: wa kwanza, wa pili na wanne wanakamuliwa

akienda kwa wa nne: wa kwanza, wa pili, na wa tatu watakamuliwa


halafu wakeze walivyo pisi sasa......


kuna watu watafaidi sambamba nae.......


NB

ni mtazamo wangu, povu kafulieni nguo
Mkuu hata sisi wenye mmoja tunapigiwa tu, mambo ya kupigiwa hayahusiani na idadi broo. Maisha fanya kitu inakupa furaha, akipigwa alafu wewe hujui hakuna shida hapo muhimu utulivu wa moyo
 
Mke mmoja anakuwa na jeuri na kiburi sana kama ukimpata ambaye akili imemkaa upande ila ukiwa nao wa4 atadengua saa ngap akizingua unahamia upande wa pili no stress ni full adabu kutawala sana sana watarogana wenyewe kwa wenyewe[emoji51][emoji51]
 
Back
Top Bottom