Masoud Kipanya aongeza mke wa nne

Masoud Kipanya aongeza mke wa nne

U
Ina maana kipanya mwaka huu anatimiza miaka 50[emoji15] aiseee hafananii na umri huo
Ukimuangalia ni kama kazidiwa umri na top players wa timu kubwa za Bongo. Aisee kumbe tuna wachezaji wenye miaka 50 kwenye ligi.
 
Ipin
Wengi humfahamu kwa jina la Masoud Kipanya, lakini hilo si jina lake halisi, tunaweza kusema hilo ni jina lake la sanaa kwani limetokana na na katuni za Kipanya ambazo huwa anachora.

Jina lake ni Ali Masoud, jina la Kipanya ni matokeo ya katuni ya Kipanya aliyoibuni zaidi ya miaka 28 iliyopita. Alizaliwa tareha 23 Juni 1972 jijini Dar es salaam.

Kipanya alianza kuchora katuni akiwa darasa la pili, na alianza kwa kuiga tu katuni za ndani na za nje kama ilivyo kawaida kwa yoyote anayeanza kufanya kitu, ila ‘professionally’ alianza rasmi mwaka 1988, huo ndio mwaka ambao katuni yake ya kwanza ilitoka katika gazeti la Heko.

Hatimaye kapata mke wa nne

View attachment 2091463

View attachment 2091464

View attachment 2091465

View attachment 2091466
To be fair Kipanya yuko sawa na anajielewa. Waislam sheria inawaruhusu wanaume kama wana uwezo na mke au wake wameridhia. Nami soon nataka kuslim kwa sababu hii!😎🤤😎.
Seriously ipi bora? Kufanya usaliti na umalaya nje au kuhalalisha zinaa kutokana na dini yako?!
 
Wewe mbona mkali.

Mwanamke ana haki ya kuchagua. Unaweza ku share mume au la.

Msitulazimishe tukubali sote tumeumbwa tofauti.

Sasa ukute muoaji mwenyewe tia maji tia maji kamoja tu chaliii afu ka kutafuta kweli japo kamoja kwa wiki.

Afu anaenda kuoa.
wewe unataka tungapi at least
 
Big mistake. Kwa umri alionao kipanya 50 wallah bed perfomance ipo low sana. Na ukute huyo mke ni under 35 jasho litamtoka. Atoe huduma kwa nyumba nne! Wallah lazima apewe tough na masela.
Fikiria ana miaka.50 ila kama yupo 40 hivyo bila shaka afya yake anaijali vilivyo na atakua njema...leo nimeduwaa kujua huyo mwamba ana miaka 50
 
Wengi humfahamu kwa jina la Masoud Kipanya, lakini hilo si jina lake halisi, tunaweza kusema hilo ni jina lake la sanaa kwani limetokana na na katuni za Kipanya ambazo huwa anachora.

Jina lake ni Ali Masoud, jina la Kipanya ni matokeo ya katuni ya Kipanya aliyoibuni zaidi ya miaka 28 iliyopita. Alizaliwa tareha 23 Juni 1972 jijini Dar es salaam.

Kipanya alianza kuchora katuni akiwa darasa la pili, na alianza kwa kuiga tu katuni za ndani na za nje kama ilivyo kawaida kwa yoyote anayeanza kufanya kitu, ila ‘professionally’ alianza rasmi mwaka 1988, huo ndio mwaka ambao katuni yake ya kwanza ilitoka katika gazeti la Heko.

Hatimaye kapata mke wa nne

View attachment 2091463

View attachment 2091464

View attachment 2091465

View attachment 2091466
Tamaa mbaya.....
 
Labda kama kaoa kutimiza matakwa ya dini yake ya uislam. Nakwambia kutoa huduma za kitandani ni kazi ngumu kwake. Atasaidiwa tu. Sema na hawa dada zetu nao hamnazo. Unaendaje kuolewa na mzee kama yule? Kwa hali ya kawaida watoto watakaozaliwa watakuwa yatima muda si mrefu. Masudi afurukute miaka 20 mbele tena na hio mzigo aliojibebesha!? Anawakati mgumu sana.
Mugabe alikufa akiwa na miaka 90+ alimzidi mkewe miaka 40...kufa ni wakati havihusiani na hilo,,,kama mtu ana mika hiyo 50 na watu wameshangaa jinsi alivyo jitunza.Muhimu uwe na uwezo wa kujihudumia mbona fresh
 
Wengi humfahamu kwa jina la Masoud Kipanya, lakini hilo si jina lake halisi, tunaweza kusema hilo ni jina lake la sanaa kwani limetokana na na katuni za Kipanya ambazo huwa anachora.

Jina lake ni Ali Masoud, jina la Kipanya ni matokeo ya katuni ya Kipanya aliyoibuni zaidi ya miaka 28 iliyopita. Alizaliwa tareha 23 Juni 1972 jijini Dar es salaam.

Kipanya alianza kuchora katuni akiwa darasa la pili, na alianza kwa kuiga tu katuni za ndani na za nje kama ilivyo kawaida kwa yoyote anayeanza kufanya kitu, ila ‘professionally’ alianza rasmi mwaka 1988, huo ndio mwaka ambao katuni yake ya kwanza ilitoka katika gazeti la Heko.

Hatimaye kapata mke wa nne

View attachment 2091463

View attachment 2091464

View attachment 2091465

View attachment 2091466
Alf mabrouk....
 
Hapo ndipo huwa nadharau uislamu! Yaani ukiona tamaa tu unaongeza kuoa au unatoa talaka uoe tena. Maisha yanaisha tamaa haziishi. Yaani dini na uchafu uchafu tuuuu
Hivi huu unafki mtaacha lini? Kati ya kuwa na wake halali, na kuwa na michepuko kila wilaya kipi bora?
 
Fikiria ana miaka.50 ila kama yupo 40 hivyo bila shaka afya yake anaijali vilivyo na atakua njema...leo nimeduwaa kujua huyo mwamba ana miaka 50

Mugabe alikufa akiwa na miaka 90+ alimzidi mkewe miaka 40...kufa ni wakati havihusiani na hilo,,,kama mtu ana mika hiyo 50 na watu wameshangaa jinsi alivyo jitunza.Muhimu uwe na uwezo wa kujihudumia mbona fresh

Hata mimi nimeshangaa..
Jamaa ana mwili mzuri mno aisee[emoji119]
Ukiwa financial upo vizuri, unafanya mazoezi, utumii pombe wala sigara, na unakula vizuri kwa kuzingatia mlo kamili basi huwezi kuchakaa.

Ndio siri ya Masoud Kipanya, na ukitaka kuprove ulevi unachosha miili yetu muangalie Gerlad Hando na Paul James PJ.
 
U

Ukimuangalia ni kama kazidiwa umri na top players wa timu kubwa za Bongo. Aisee kumbe tuna wachezaji wenye miaka 50 kwenye ligi.
Ndio kinachoigharimu timu ya Simba sasa hivi.

Ni kichaa tu ndio ataamini John Boko, Meddy Kagere, Bernard Morrison kwamba hawa ni sawa na watoto wa kuwazaa Masoud Kipanya wakati ni age mate wake.

Simba isitalajie maajabu yoyote kutoka kwa watu hawa, Umri kimpira umeshakwenda warudi kwenye mabonanza.
 
Wengi humfahamu kwa jina la Masoud Kipanya, lakini hilo si jina lake halisi, tunaweza kusema hilo ni jina lake la sanaa kwani limetokana na na katuni za Kipanya ambazo huwa anachora.

Jina lake ni Ali Masoud, jina la Kipanya ni matokeo ya katuni ya Kipanya aliyoibuni zaidi ya miaka 28 iliyopita. Alizaliwa tareha 23 Juni 1972 jijini Dar es salaam.

Kipanya alianza kuchora katuni akiwa darasa la pili, na alianza kwa kuiga tu katuni za ndani na za nje kama ilivyo kawaida kwa yoyote anayeanza kufanya kitu, ila ‘professionally’ alianza rasmi mwaka 1988, huo ndio mwaka ambao katuni yake ya kwanza ilitoka katika gazeti la Heko.

Hatimaye kapata mke wa nne

View attachment 2091463

View attachment 2091464

View attachment 2091465

View attachment 2091466
Utajiri wa waafrika
 
Back
Top Bottom