Masoud Kipanya aongeza mke wa nne

Masoud Kipanya aongeza mke wa nne

Wanawake wanne msimamo utoke wapi kaka? Amini nakwambia, wahuni lazima wapite nao. Hawawezi kukaa kukusubiri wewe tu na ubwege wako
Mara nyingi kauli hizi zinatoka kwa watu ambao:

1: uwezo haumruhusu kuwa na wake wengi

2: Imani yake ya dini hairuhusu hivyo

3: wivu usiona na maana

Wapo wanawake waliokwenye ndoa na mume mmoja na bado wanazini

Mwanamke kuzini wakati yupo kwenye ndoa ni suala la tabia na sio kuolewa mitala
 
Wwe Skylar unaonekana ni mbinafsi sana,unataka Mume wa pekee yako! Labda umtengeneze mwenyewe na remort yake uwe nayo wwe full-time!!
Wewe unaweza uwa mme wa pili au wa nne? Tuanzie hapo, mapenzi ni ubiafsi ndio maana mtu anapokua msalit analeta mdhara kwenye mahusiano hata mauaji
 
Fact ni kwamba ili wanawake wote duniani wapate waume ni lazima angalau kila mwanaume aowe wastani wa wake si chini ya watano.

Kwanza unafahamu fact hizi? acha ubinafsi.
Sikatai hiyo fact lakini lazima pia tukubali fact kwamba hakuna mtu mwenye moyo wa chuma ati unakua mme wa pili au mke wa nne..hakuna dunian, tunalazimisha tu wa sababu ya imani na miiko
 
Kasema hivii hutosheki na mmoja,una uhakika ukipewa 10 utatosheka?.. ndoa sio sex peke yake, ndoa ipo kuanzisha familia, kuanzisha familia na wake wanne utapata wapi nafasi ya kulea wanao vyema? ,,,ningekua nina akili za kusoma ningependa kujua watoto wa ndoa za mitala malezi yao yanakuwaje? Je hawaathiriki kisaikolojia na huu mfumo?
Umewapa vijana title ya bure kabisa kufanyia research kazi kwao
 
Mara nyingi kauli hizi zinatoka kwa watu ambao:

1: uwezo haumruhusu kuwa na wake wengi

2: Imani yake ya dini hairuhusu hivyo

3: wivu usiona na maana

Wapo wanawake waliokwenye ndoa na mume mmoja na bado wanazini

Mwanamke kuzini wakati yupo kwenye ndoa ni suala la tabia na sio kuolewa mitala

Niwe na uwezo au nisiwe nao, hayo mambo sisi tumeyaona tangu tukiwa watoto. Tena ukiwa mdogo unaona mambo mengi wa watu wazima kuliko watu wazima wenyewe. Labda huko Uarabuni maana wanaogopa sheria zao kali, lakini huku kwetu, wanachapiwa na wauza vitunguu tu sokoni
 
Labda kama kaoa kutimiza matakwa ya dini yake ya uislam. Nakwambia kutoa huduma za kitandani ni kazi ngumu kwake. Atasaidiwa tu. Sema na hawa dada zetu nao hamnazo. Unaendaje kuolewa na mzee kama yule? Kwa hali ya kawaida watoto watakaozaliwa watakuwa yatima muda si mrefu. Masudi afurukute miaka 20 mbele tena na hio mzigo aliojibebesha!? Anawakati mgumu sana.
We umejuaje ni kazi ngumu kwake?yeye yote hayo anajua ndio kafanya maamuzi
 
Mbona watu humu wanamsemea Masoud si wampelekee ajaribu mambo
 
Ni changamoto. Ila kama ukiwawezesha kwa miradi ambayo wanakuwa busy sana, na wajue kwamba uaminifu ni muhimu... kwa kuwapata ambao ni waaminifu.. naamini inawezekana.

Uwezo wa kiuchumi sio sababu, ingekuwa hela ndio kila kitu kwa matajiri kusingekuwa na divorce. Mwanamke mmoja tu huwezi kumpa attention ile anayotaka sasa utaweza wapi wanne? Ili jambo watu wanalichukulia kijuu juu tu
 
Kwani divorce zote ni kwa sababu ya watu kutofanya penzi? Divorce asilimia kubwa ni mambo ya uchumi na pia mapenzi kupungua sababu ya watoto. Pia kwani kwenye ndoa watu wanafanya mara ngapi mkuu? Hii research ilionyesha asilimia ndogo sana ndio wanafanya zaidi ya mara moja kwa wiki. Asilimia 5 tu. Hio asilimia 95, wana ndoa wanafanya mapenzi mara moja kwa wiki au chini ya hapo. Kwa hio suala la mwanamke kulala na wengine NI TABIA TU YAKE. NA SIO WOTE WAKO HIVYO. WAAMINIFU WAPO.. NA UKITAKA NDOA NZURI YA POLYGAMY, LAZIMA UWAJARIBU SANA UAMINIFU WAO KABLA YA KUWAOA
 
Uwezo wa kiuchumi sio sababu, ingekuwa hela ndio kila kitu kwa matajiri kusingekuwa na divorce. Mwanamke mmoja tu huwezi kumpa attention ile anayotaka sasa utaweza wapi wanne? Ili jambo watu wanalichukulia kijuu juu tu
Pia kumbuka divorce ni za wote, matajiri na maskini. Lakini ukiwa na hela nzuri, na ukachagua vizuri, una nafasi nzuri. Na ukiwa na $$$, unakuta wanawake wengi wanakutaka kila siku.. na inaleta kuwatamani. Sasa kuliko hio tamaa, bora tu unakuwa nao wote wanajuana na mnafanya kazi za maendeleo pamoja, naona inaweza kufanikiwa vizuri sana.

Kasema hivii hutosheki na mmoja,una uhakika ukipewa 10 utatosheka?.. ndoa sio sex peke yake, ndoa ipo kuanzisha familia, kuanzisha familia na wake wanne utapata wapi nafasi ya kulea wanao vyema? ,,,ningekua nina akili za kusoma ningependa kujua watoto wa ndoa za mitala malezi yao yanakuwaje? Je hawaathiriki kisaikolojia na huu mfumo?
Unakuwa tu na bonge la compound. Watoto wanacheza pamoja, wanajifunza pamoja, wanafurahi pamoja. Na nyumba zinakuwa za kutosha, za kisasa, magari ya kufanyia kazi, kupeleka watoto shule pia yawepo ya kutosha na ya uhakika, na wives pia wawe wanafanya kazi kwa biashara, na watoto wanajifunza kazi pamoja, biashara pamoja, wanapata burudani kama movies pamoja, mnasali pamoja, nk. Naona imekaa vizuri sana.. cha muhimu unakuwa tu mkuu wa Boma mwenye hekima ya uongozi na heshima iwepo pote manake kila mtu amheshimu mwingine pamoja na wives na watoto waheshimiane na wapendane.
 
Uwezo wa kiuchumi sio sababu, ingekuwa hela ndio kila kitu kwa matajiri kusingekuwa na divorce. Mwanamke mmoja tu huwezi kumpa attention ile anayotaka sasa utaweza wapi wanne? Ili jambo watu wanalichukulia kijuu juu tu
Kwa Tanzania, uchumi ni sababu kubwa. WaDada unakuta mume hamhudumii mahitaji yake ya kiuchumi, na anapata jamaa anamuahidi mambo kibao... lazima wachepuke
 
Aisee wamefikia huku
IMG-20220122-WA0028.jpg

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Wee unalalaje na mmoja bwana....unapaswa kulala na angalau wawiwi kama sio wote....yaani unatakiwa ukiingia chumbani kwako ni unaogelea ina sea of boobs pu.ssy and booty.
Huu mzigo wa dhambi kubwa hivi nani atamtua?
 
Back
Top Bottom