Masoud Kipanya aongeza mke wa nne

Masoud Kipanya aongeza mke wa nne

Wanawake wana kazi sana, huyo dada anatabasamu pamoja na kuolewa mke wa nne, kweli tumetofautiana

Anyways, hongera sana kwake kwa kupata ndoa na kua mke namba nne, tunamtakia kila la heri
Wwe Skylar unaonekana ni mbinafsi sana,unataka Mume wa pekee yako! Labda umtengeneze mwenyewe na remort yake uwe nayo wwe full-time!!
 
Mkewe wa kwanza nadhani Ndio yule mama Malcom(marehemu), nahisi hawezi kuzaa nae Tena kutokana na sababu za ki genetic baina yao wasije za mtoto mwenye matatizo kama yule wa mwanzo..maybe pia anaoa wake zaidi yule mwanamke wake asije akahisi changamoto zao za uzazi zinamfanya aoe mwingine Bali Ni Mambo ya dini

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wengi humfahamu kwa jina la Masoud Kipanya, lakini hilo si jina lake halisi, tunaweza kusema hilo ni jina lake la sanaa kwani limetokana na na katuni za Kipanya ambazo huwa anachora.

Jina lake ni Ali Masoud, jina la Kipanya ni matokeo ya katuni ya Kipanya aliyoibuni zaidi ya miaka 28 iliyopita. Alizaliwa tareha 23 Juni 1972 jijini Dar es salaam.

Kipanya alianza kuchora katuni akiwa darasa la pili, na alianza kwa kuiga tu katuni za ndani na za nje kama ilivyo kawaida kwa yoyote anayeanza kufanya kitu, ila ‘professionally’ alianza rasmi mwaka 1988, huo ndio mwaka ambao katuni yake ya kwanza ilitoka katika gazeti la Heko.

Hatimaye kapata mke wa nne

View attachment 2091463

View attachment 2091464

View attachment 2091465

View attachment 2091466
Anaruhusiwa kuongeza wa Tano?
 
Wwe Skylar unaonekana ni mbinafsi sana,unataka Mume wa pekee yako! Labda umtengeneze mwenyewe na remort yake uwe nayo wwe full-time!!
Wewe mbona mkali.

Mwanamke ana haki ya kuchagua. Unaweza ku share mume au la.

Msitulazimishe tukubali sote tumeumbwa tofauti.

Sasa ukute muoaji mwenyewe tia maji tia maji kamoja tu chaliii afu ka kutafuta kweli japo kamoja kwa wiki.

Afu anaenda kuoa.
 
Anatumia fursa vizuri. Haya ndio mambo wanaume wanapaswa kufanya ukiwa na hela sio kulingishiana mijengo na magarii
Mimi nimeshapata waDada watatu wanajitolea kuwa na mimi wote tena warembo haswaa. Nikasema tujaribu, ila haikwenda poa. Nikabreak things up. Hawakuwa na faida sana.. Na sasa wote wanataka na mimi mchana na shughuli nyingi za biashara nk. Usiku nalala na mmoja. Mara moja moja mwingine anapata dozi mara moja mchana. Na walikuwa wanafanya kazi za usafi tu na kupika. Sio za maendeleo. Unawachoka mapema sana. Nikiwa teari nitafanya tena ila hao nitawafundisha kazi za maendeleo/ kuzalisha $$. Naamini itakuwa sawa. Mwanzo wa hawa ilikuwa sio mzuri sana. Ngojea tuendelee kuringishia V8's na mijengo tu kwa sasa.
 
Una namba yenye mpesa? Nina laki yako hapa

Mimi nimeshapata waDada watatu wanajitolea kuwa na mimi wote tena warembo haswaa. Nikasema tujaribu, ila haikwenda poa. Nikabreak things up. Hawakuwa na faida sana.. Na sasa wote wanataka na mimi mchana na shughuli nyingi za biashara nk. Usiku nalala na mmoja. Mara moja moja mwingine anapata dozi mmoja. Na walikuwa wanafanya kazi za usafi tu na kupika. Sio za maendeleo. Unawachoka mapema sana. Ngojea tuendelee kuringishia V8 na mijengo tu kwa sasa.
Wee unalalaje na mmoja bwana....unapaswa kulala na angalau wawiwi kama sio wote....yaani unatakiwa ukiingia chumbani kwako ni unaogelea ina sea of boobs pu.ssy and booty.
 
Walikuwa wanasema eti wanaoneana aibu kufanya pamoja. Yap.. hio nayo haikusaidia. Hivyo nilijifunza mambo flani flani hapo. Next time lazima itoboe vizuri. Na ni muhimu kupata ambao wana ushirikiano mzuri hata kwa mambo ya bed..
Wee unalalaje na mmoja bwana....unapaswa kulala na angalau wawiwi kama sio wote....yaani unatakiwa ukiingia chumbani kwako ni unaogelea ina sea of boobs pu.ssy and booty.
 
Walikuwa wanasema eti wanaoneana aibu kufanya pamoja. Yap.. hio nayo haikusaidia.
Ah hao wapuuzi yaani umefanya la maana kuwabwaga. Raha ya kuwa na wake wengi ni kwamba kulia kushoto umezungukwa na mbususu na matiti moto moto
 
Wanawake wanne msimamo utoke wapi kaka? Amini nakwambia, wahuni lazima wapite nao. Hawawezi kukaa kukusubiri wewe tu na ubwege wako
Ni changamoto. Ila kama ukiwawezesha kwa miradi ambayo wanakuwa busy sana, na wajue kwamba uaminifu ni muhimu... kwa kuwapata ambao ni waaminifu.. naamini inawezekana.
 
Jafoo na masoud wammaliza Kaz yao vzr

Sas ina maana kamchoka Yule mam ake na malcom r.i.p ?

Jan nimesikiaa dongo kutoka kwa Barbra ktk kipind Cha pb eti mwanume mnaongezewa mshahara unakimbilia kuongeza mke wa pili kumbe alikuwa Ana msema masoud. ..mbna yey mume wake hayawai kumuweka hadharani au ndio kusema anazaha na waume za watu nn

Ngoja nimfukuzie Yule anaye ishi happo mlimani city survey nimliwaze
 
Wewe mbona mkali.

Mwanamke ana haki ya kuchagua. Unaweza ku share mume au la.

Msitulazimishe tukubali sote tumeumbwa tofauti.

Sasa ukute muoaji mwenyewe tia maji tia maji kamoja tu chaliii afu ka kutafuta kweli japo kamoja kwa wiki.

Afu anaenda kuoa.
Duh
 
Back
Top Bottom