Masoud Kipanya aongeza mke wa nne

Soma comment za wadau mkuu. Kwanza kwa mwanaume kuwa na zaidi ya mwanamke mmoja ni nature, wengine tunafungwa na imani tu ila ukweli mke mmoja ni miyeyusho sana
Ni hv wanaume wa sasa tunapenda kuwa na wanawake zaid ya wawil lakin sio mpaka kufunga ndoa
 
Tunaishi kwa kudanganya jamii. Eti uonekani una mke mmoja, huku nje umezaa na michepuko na una vimada kibao.
Hatumuogopi Mungu, as long as kwenye jamii inajulikana una mke mmoja basi unajipa moyo we msafi.
 
Unatamani iwe kweli [emoji1787][emoji1787]
hivi unajua kumfikisha kileleni mwanamke mmoja tu ni kazi sembuse 5

yaani hapo piga ua galagaza kuchapiwa sio jambo la kuuliza.... inatia hasira ila ndio ukweli wenyewe!!!!
 
hivi unajua kumfikisha kileleni mwanamke mmoja tu ni kazi sembuse 5

yaani hapo piga ua galagaza kuchapiwa sio jambo la kuuliza.... inatia hasira ila ndio ukweli wenyewe!!!!
Nani kakwambia kumfikisha mwanamke kileleni ni kazi sana? Mwanamke kuliwa nje ni aamue tu au tuseme ni tabia ila kama ni kukojozwa hata wawe 10 kazi inapigwa tu wanaume tunasimamisha mbo.o 24/7
 
Pj na Hando ukiwaona tu unajua hawa walevi wakubwa..
 
hivi unajua kumfikisha kileleni mwanamke mmoja tu ni kazi sembuse 5

yaani hapo piga ua galagaza kuchapiwa sio jambo la kuuliza.... inatia hasira ila ndio ukweli wenyewe!!!!
Mimi Rais wa wapiga deki Tanzania nasema hiyo ni kazi ndogo sana kwetu.

Labda useme tu unataka kupanda mlima mara ngapi.♥️♥️
 
Nani kakwambia kumfikisha mwanamke kileleni ni kazi sana? Mwanamke kuliwa nje ni aamue tu au tuseme ni tabia ila kama ni kukojozwa hata wawe 10 kazi inapigwa tu wanaume tunasimamisha mbo.o 24/7
kusimamidha dushe sio kumfikisha mwamke.....
 
Mimi Rais wa wapiga deki Tanzania nasema hiyo ni kazi ndogo sana kwetu.

Labda useme tu unataka kupanda mlima mara ngapi.[emoji3531][emoji3531]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

kilele cha deki na cha dudu havifanani kaka!!!
 
Anayeoa mke mmoja anakuwa na michepuko 6 uko nje, mtu akioa matala wanamdhihaki ni mjinga kwanin anaowa wanawake wengi huo ni upuuzi anaharibu maisha,
Lakin mtu uyouyo aliyeoa mke mmoja nje anakuwa anamichepuko ya kutosha shwain
 
Hivi unajua kuwa mataifa 12 ya wana wa Israeli (Yakobo) yametokana na mama wanne?.Utafiti wako unaweza anzia hapo sasa.[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wewe hupo peke yako lakini ni msaada wa wanaume wengine.Usipotambua kuwa thamani yako wewe mwanamke ni huo uchi wako,utapigwa sana hata kama unandoa ya peke yako.
 
Tangu lini gunia la mazoezi likashindwa kuhimili ngumi nyingi?.Wenzio siyo gunia la mazoezi bali ni mali inayolidhika na bei iliyopo.
 
wake wanne sio mchezo inabidi ule nguna na kushiba vyema la sivyo unatafuta balaa na wazinzi
 
A chance or probality of high rate of spreading of UTI also has increased
 
Ni changamoto. Ila kama ukiwawezesha kwa miradi ambayo wanakuwa busy sana, na wajue kwamba uaminifu ni muhimu... kwa kuwapata ambao ni waaminifu.. naamini inawezekana.
Uaminifu nje ya ucha Mungu haupo.Mwanaume muumini wa Kiislamu uoa wanawake waumini wa Kiislamu na siyo wanawake waislamu.Usipolielewa hilo,utaendelea kupiga kwata sana.
 
Hivi mnaishi nchi gani?.Ebu nenda usukumani tu hapo uone kama wasukuma wanaishi na kimke kimoja!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…