Masoud Kipanya aongeza mke wa nne

Yaani unafurahisha na kuchekesha.Hivi kweli unaweza kuwa na ushauri sahihi kweli kwa mwanaume ambaye ameishakuwa ndani ya ndoa kwa zaidi ya miaka 20?.Unaelewa nini unaposikia huyu ameoa mke wa nne hii leo?.Huyu ni mwanaume ambaye aliishi ndoa ya mke mmoja,akaishi ndoa ya wake wawili,akaishi ndoa ya wake watatu na sasa ameingia kuishi ndoa ya wake wa nne.Ndugu!Uwezi kuwa mshauri juu ya jambo ambalo huna uzoefu nalo wala uwezi kuliishi.Acha wanaume tupongezane wenye kuyaishi haya.
 
Kipanya na Kitenge wanafanana na nick names zao. Unakaaje na wanawake wanne tena waswahili? Kuna watu wamechagua kuharakisha vifo vyao aisee!
Kama aliweza kukaa na watatu,anashindwaje kukaa na wanne?.
 
Mungu alimpatia Adamu msaidizi na si wasaidizi huku ni kuzini kwa kuitumia kichaka Cha dini.
Na Ibrahim ukabarikiwa uzao wake wa wake wa wili na ajabu mataifa 12 ya wana wa Israeli(Yakobo)kutoka mama wanne tofauti, yakawa mataifa mateule ya Mungu .[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Unaweza nitajia mama mmoja aliyewazaa wana 12 wa Yakobo akiwa peke yake?Mbele ya Mungu wako ni taifa lipi liloteule mbele yake?.Unapokea maandiko kama vichaa bila ya kutafakari akilini mwenu.
 
Unaweza nitajia mama mmoja aliyewazaa wana 12 wa Yakobo akiwa peke yake?Mbele ya Mungu wako ni taifa lipi liloteule mbele yake?.Unapokea maandiko kama vichaa bila ya kutafakari akilini mwenu.
Mbona mimi sija tukana
 
MMMMh, hiyo ya wake wanne si kujikaribishia ile kauli ya kizuri kula na mwenzio, hapo kuchapiwa lazima maana sio wanawake wote watakuwa na roho ya kujitunza
 
Mke mmoja anakuwa na jeuri na kiburi sana kama ukimpata ambaye akili imemkaa upande ila ukiwa nao wa4 atadengua saa ngap akizingua unahamia upande wa pili no stress ni full adabu kutawala sana sana watarogana wenyewe kwa wenyewe[emoji51][emoji51]
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Watu wanavyo kua wana punguza idadi ya marafiki sasa wewe unakua na wanawake wanne uwapeleke wapi?
 
Safi sana. Ataishi maisha marefu sana. Kuwa na Mke mmoja bila hata mchepuko ni kujitafutia stress tu na kukaribisha magonjwa yasiyoambukiza kama pressure, kisukari, moyo kuwa mkubwa n.k
Umenena kweli na ukweli.mtupu
 
Huyu na Dr. nani yule hatari kwa kuoa
 
Ally Masoud Nyomwa
 
Duuh Massoud anatimiza 50 mwaka huu? Mbna hafanan hata.
Nwei hongera kwa ndoa yake hii.
 

Wewe kaka uko na free mind sana .Nakuelewa sana
 

[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Hapo ndipo huwa nadharau uislamu! Yaani ukiona tamaa tu unaongeza kuoa au unatoa talaka uoe tena. Maisha yanaisha tamaa haziishi. Yaani dini na uchafu uchafu tuuuu

Ukishajiita fisi akili utatoa wapi sasa?Wivu huo na chuki zisizo na maana .Hela huna mwanamke utampata wapi?
 

Unalazimisha vipaumbele vyako viwe vyake?Pambana na hali yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…