Masoud Kipanya: Asilimia 80 ya wanawake wanafanikiwa kuukwepa Umasikini kupitia ndoa

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Msaani wa uchoraji wa Katuni Msoud Kipanya amesema kuwa asilimia 80 ya wanawake wanakwepa mtego wa umasiki kupitia ndoa na pia asilimia 80 ya wanaume wanaingia kwenye mtego wa umasikini kupitia ndoa.

Kipanya Ndoa.jpg

Unakubaliana na hoja ya Masoud Kipanya? Nini maoni yako
 
View attachment 3616120

Unakubaliana na hoja ya Masoud Kipanya? Nini maoni yako
Aboreshe,aseme asilimia 80 ya wanawake walioolewa na asilimia 80 ya Wanaume waliooa!
 
😀 😀 😀 😀 subiri waje

Msaani wa uchoraji wa Katuni Msoud Kipanya amesema kuwa asilimia 80 ya wanawake wanakwepa mtego wa umasiki kupitia ndoa na pia asilimia 80 ya wanaume wanaingia kwenye mtego wa umasikini kupitia ndoa.

Unakubaliana na hoja ya Masoud Kipanya? Nini maoni yako
Angelichora ndiyo angeeleweka vizuri zaidi.
 
Kuna kaukweli fulani hivi, Ila pia kuna uwezekano kwamba ‘ Aisifiae Mvua Imemnyeshea’
 
UKIINGIA KIchwa kichwa

Ndoa ni chanzo cha utajiri kwa wanawake na chanzo cha UMASKINI Kwa wanaume wengi.
Imagine Mgao wa TALAKA.
 
Back
Top Bottom