Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Ndoa siku hizi imegeuzwa fursa ya kiuchumi na wapuuzi wachache, ila kusudi halisi la ndoa lilikuwa zuri sana
Kufilisiwa sio hela tu ndugu yangu, hela inakuwaga ni hatua ya mwisho.UKisoma hili bandiko unaweza kuhisi ndoa zote wanaume Wana hela za kufilisiwa!
Msitufokee

Kuna uwezekano hata hicho kidogo alichonacho mwanaume anakipoteza.UKisoma hili bandiko unaweza kuhisi ndoa zote wanaume Wana hela za kufilisiwa!
***** unataka kujisafisha, hapa huchomoki ms3ng3 wewe ndie unaefirw@ humu JF na kila basha unaempalatia