😅😀🤣🤪😁😊😄😆😎🤪😂😃🙆♂️🙅♂️Kwani mama bilali anasemaje wakuu
Aboreshe,aseme asilimia 80 ya wanawake walioolewa na asilimia 80 ya Wanaume waliooa!Msaani wa uchoraji wa Katuni Msoud Kipanya amesema kuwa asilimia 80 ya wanawake wanakwepa mtego wa umasiki kupitia ndoa na pia asilimia 80 ya wanaume wanaingia kwenye mtego wa umasikini kupitia ndoa.
View attachment 3616120
Unakubaliana na hoja ya Masoud Kipanya? Nini maoni yako
Ila mama bilali 😂😂😂Kwani mama bilali anasemaje wakuu
Mama bilali analazimisha niache kulelewa ety nikalime vitunguu majiIla mama bilali 😂😂😂
Angelichora ndiyo angeeleweka vizuri zaidi.Msaani wa uchoraji wa Katuni Msoud Kipanya amesema kuwa asilimia 80 ya wanawake wanakwepa mtego wa umasiki kupitia ndoa na pia asilimia 80 ya wanaume wanaingia kwenye mtego wa umasikini kupitia ndoa.
Unakubaliana na hoja ya Masoud Kipanya? Nini maoni yako
😆Halafu unakuta mwanaume anampigia mwanamke goti anamwomba amuoe, what a fuckery?
Tatizo ilo,alafu ukute anae kula mbususu sio bwana harusi