Masoud Kipanya atunukiwa Shahada ya Heshima (Vanguard Honorary Degree for Creativity)

Njia nyeupe akagombee ubunge kwao anakotoka, tayari ni doctor, vipi doctorate inajumuisha ubunifu wake wa katuni au ni gari zake tu?
 
Angalau hii ni halali kabisa
 
Wavaa kobazi wana akili sana na wabunifu hasa Nyerere aliwanyoma nafasi kwa udini wake
 
Kama ni katuni tu mbona kuna wachora katuni wenzake kina nathan, king kinya, moh'd, sammy na wengine wengi wachora katuni za kisiasa (editorial political cortoon) hatusomi nao watunukiwe hizo shahada za heshima? Hawa wote walikuwa kundi moja pale business times na kuna kundi lingine la makatunisti lipo the guardian vilevile ni wabunifu kitambo sana
 
Kwa hiyo kuanzia jumatatu ijayo kwenye kipindi chao cha PB atakuwa anaitwa dokta masoud badala ya KP au ataitwa Dr. KP?
 
Anavyo walabu za uso wale washenzi nampa maua yake bila unaa kama wa wale wakupewa ofa za kuwapofusha.
 
Mtangazaji Maarufu nchini Mh Masoud Kipanya ametunukiwa PhD ya Heshima kutokana na Ubunifu wake wa kisayansi

Ahsanteni Sana πŸ˜‚
Huwa haziitwi PhD (Doctor of Philosophy). Ni degree za heshima "kutambua mchango" wa mhusika. Neno "philosophy" halimo kwenye hizo titles! Rather, utasikia Doctor of Letters (Honoris Causa) and similar titles; not a PhD.
 
Sema, Hongera sana Dr. Masoud Rodent.
 
TIPMπŸ˜šπŸ˜‚πŸ˜‚
Kila mtu ni kujipakulia tu minyama saiz,

KP akitaka kuitwa Dr akasome tu hana namna πŸ˜‚πŸ˜‚, hiz bla bla za kitoto hazimfikish popote πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…