Masoud Kipanya i salute you!

Masoud Kipanya i salute you!

Aiseee Jamaa inaonekana "Mkono Mmoja" wao upo poa yaani rangi utafikiri imetoka kiwandani,wanatumia "Electrolysis " nini kwenye Mkono Mmoja?
 
Kwa Tanzani ndiye msanii mwenye gari ya bei ghali kuliko wote.

Anamiliki hummer.

Naona na Kina Mose iyobo wa hummer sasa hivi ila sijajua ni model ipi

hummer siyo gari ghali kiivyo... maana bei ya landcruiser 200series ya 2018 unanunua hummer H3 ya 2018 na chenji ya kununua prado ya 2006 inabaki
 
Kwa Tanzani ndiye msanii mwenye gari ya bei ghali kuliko wote.

Anamiliki hummer.

Naona na Kina Mose iyobo wa hummer sasa hivi ila sijajua ni model ipi
Wabongo tunaogopa sana Hummer wkt sio ghali kulinganisha na gari nyingine za kawaida tu zilizopo mtaani huku.

Himmer 3 ya masoud ni model ya kwny 2006 huko, kuinunua ni usd 13,000 almost mil 27 za kibongo,kodi TRA ni mil 34 total ni mil 61.

Wkt huo ukichek gari za kawaida tu kama landcruiser Cygnus model ya 2006 huipati chini ya usd 26000 almost mil 53 za kibongo na kodi Tra utalipa mil 50 na zaidi total hapo ni mil 103

Inshort hummer 3 model 2006=mil 61
L/cruiser cygnus model 2006=mil 103
 
Bado mkuu hujaeleweka point yako nini,jamaa kasema msanii anaemiliki gari yenye thamani kuliko wote hajasema toleo wala mwaka'
 
Ni kweli inawezekana sijamuelewa vzr mshikaji.

Boss ngoja nikuulize kitu,mbongo ukimuwekea hummer 3 ya 2006 na l/cruiser Cygnus ya 2006 ipi umadhani anaona ni ya kitajiri?
 
Back
Top Bottom