wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Mi naina kama mbupuMkuu...
Ebu angalia vizuri... tehteehhh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi naina kama mbupuMkuu...
Ebu angalia vizuri... tehteehhh
Mkuu, pale nyuma kuna kioo na matairi ndio yanayo onekana kwa ufasaha zaidiMi naina kama mbupu
Hamna bana hicho kinachoning'inia nyuma chini ndo tunauliza ni kininiMkuu, pale nyuma kuna kioo na matairi ndio yanayo onekana kwa ufasaha zaidi
Mkuu, ebu ngoja kwanza nione muwani wangu uko wapi then nitakuja niseme nenoHamna bana hicho kinachoning'inia nyuma chini ndo tunauliza ni kinini
Sawa mkuuMkuu, ebu ngoja kwanza nione muwani wangu uko wapi then nitakuja niseme neno
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sio mawe tuu Mkuu, Ana hadi kokoto na mchanga na Cement kabisa
Kwa Tanzani ndiye msanii mwenye gari ya bei ghali kuliko wote.
Anamiliki hummer.
Naona na Kina Mose iyobo wa hummer sasa hivi ila sijajua ni model ipi
Vipi kwa wale wanaojiita safari.....!?Interior design kwa Tanzania bado sana,
Hio cruser yako msaanii gabi anayo?hummer siyo gari ghali kiivyo... maana bei ya landcruiser 200series ya 2018 unanunua hummer H3 ya 2018 na chenji ya kununua prado ya 2006 inabaki
Luda crisspimp my ride
Inaitwa brake pumbu mkuu.Hamna bana hicho kinachoning'inia nyuma chini ndo tunauliza ni kinini
Inaitwa AUDI TT.Nilijua amefanyia ile Hummer yake kumbe ni bito Audi.
Wabongo tunaogopa sana Hummer wkt sio ghali kulinganisha na gari nyingine za kawaida tu zilizopo mtaani huku.Kwa Tanzani ndiye msanii mwenye gari ya bei ghali kuliko wote.
Anamiliki hummer.
Naona na Kina Mose iyobo wa hummer sasa hivi ila sijajua ni model ipi
XzibitLuda criss
Bado mkuu hujaeleweka point yako nini,jamaa kasema msanii anaemiliki gari yenye thamani kuliko wote hajasema toleo wala mwaka'Wabongo tunaogopa sana Hummer wkt sio ghali kulinganisha na gari nyingine za kawaida tu zilizopo mtaani huku.
Himmer 3 ya masoud ni model ya kwny 2006 huko, kuinunua ni usd 13,000 almost mil 27 za kibongo,kodi TRA ni mil 34 total ni mil 61.
Wkt huo ukichek gari za kawaida tu kama landcruiser Cygnus model ya 2006 huipati chini ya usd 26000 almost mil 53 za kibongo na kodi Tra utalipa mil 50 na zaidi total hapo ni mil 103
Inshort hummer 3 model 2006=mil 61
L/cruiser cygnus model 2006=mil 103
Ni kweli inawezekana sijamuelewa vzr mshikaji.Bado mkuu hujaeleweka point yako nini,jamaa kasema msanii anaemiliki gari yenye thamani kuliko wote hajasema toleo wala mwaka'