Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
kwani yeye ni mpashkuna ?Itakuwa amepewa kipindi cha Heka heka...
kuna uhusiano gani kwa mfano? enzi za kina masoud na kina kaka bonda na fina na amina chifupa we huzijui piga kimya erooWanaume wa Dar bhana
Wakati huo ilikuwa Power Breakfast kweli kweli.kuna uhusiano gani kwa mfano? enzi za kina masoud na kina kaka bonda na fina na amina chifupa we huzijui piga kimya eroo
Hila hawa watangazaji sijui nawaonaje yaani mtu akuachishe kazi kwa kukuona haufai, halafu leo unarejea tena kwake kwa kumnufaisha ashinde vita yake, hata kama nalipwa milioni 100 sirudi ng'o.Hapo aliyeshtuka mapema ni mwenyewe KUSAGA,kaona hooh nimepwelewa sasa,si asubuhi Hando na PJ,na dinna,si mchana fetty alikua kiungo kwakwel,si jioni,Ndo kaamua arudie matapishi usifanye mchezo kuondokewa na watu wanakubalika na jamii mtihani,hapo ndo RUGE aache jeuri.
Laiti unegejua hali wanaoyopitia clouds usingesema hayoNdio maana wale waropokaji na pampula Hando na PJ waliamua kusanda mapema ili kukwepa aibu.Fundi karudi wangekosa namba tu.
Tatizo njaa km Kipanya alivyo furumushwa angekuwa anajielewa asinge rudi nahisi fina kagomaWale watangazaji wanapaswa wasirudi kuipa nguvu Clouds ili ione thamani ya wafanyakazi, mana dezain wanavyoacha hao staff havieleweki, NAJUA NDIO KAZI INAYOWAINGIZIA RIZKI Lakini na wao wanahitaji kuheshimiwa na sio kufukuzwa kila leo au wengine wanaacha sabab wamepuuzwa, kina dina nao waliachishwa sijui nini havieleweki, sasa wanarudi ili aendelee kuwa juu, siku akipata wengine anakupiga tena chini na kukudharau mnapaswa muwaache na wao wakose muelekeo kama walivyowafanya nyie ili waone uchungu kiodogo.
Si utuambie ili na sisi tusiojua tujiongezeLaiti unegejua hali wanaoyopitia clouds usingesema hayo
hakika mkuu ile combination ya fina na masudi kipanya ilikuwa tamu sanaWakati huo ilikuwa Power Breakfast kweli kweli.
sasa huyo fredwa kipind anaondoka RFA unaambiwa mabosi walimpigia hadi magoti lakn bdo alisepa na ndo alikta kama injini pale, jamaa ni bonge la mtangazaji sema tu kapewa kipndi kimoja na madem pale thats y.bora aje masoud maana mimi yule fredwa wala simuelewagi
yap nilikua namsikia kwenye kipindi cha asubuhi sikumbuki kilikiwa kinaitwaje na kilikuwa kinapendwa sana but tangu amehama RFA hang'ai tena alianzia timesfm na sasa clouds fm, daah hata ule ucheshi aliokua nao rfa haupo tenasasa huyo fredwa kipind anaondoka RFA unaambiwa mabosi walimpigia hadi magoti lakn bdo alisepa na ndo alikta kama injini pale, jamaa ni bonge la mtangazaji sema tu kapewa kipndi kimoja na madem pale thats y.
bora aje masoud maana mimi yule fredwa wala simuelewagi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]freddwaa naskia anapewa kipindi cha nyimbo za dini jumapili