Masoud Kipanya kurejea rasmi Clouds FM kuanzia Jumatano (27 April 2016)

Masoud Kipanya kurejea rasmi Clouds FM kuanzia Jumatano (27 April 2016)

kuna uhusiano gani kwa mfano? enzi za kina masoud na kina kaka bonda na fina na amina chifupa we huzijui piga kimya eroo
Wakati huo ilikuwa Power Breakfast kweli kweli.
 
Hapo aliyeshtuka mapema ni mwenyewe KUSAGA,kaona hooh nimepwelewa sasa,si asubuhi Hando na PJ,na dinna,si mchana fetty alikua kiungo kwakwel,si jioni,Ndo kaamua arudie matapishi usifanye mchezo kuondokewa na watu wanakubalika na jamii mtihani,hapo ndo RUGE aache jeuri.
Hila hawa watangazaji sijui nawaonaje yaani mtu akuachishe kazi kwa kukuona haufai, halafu leo unarejea tena kwake kwa kumnufaisha ashinde vita yake, hata kama nalipwa milioni 100 sirudi ng'o.
 
Wale watangazaji wanapaswa wasirudi kuipa nguvu Clouds ili ione thamani ya wafanyakazi, mana dezain wanavyoacha hao staff havieleweki, NAJUA NDIO KAZI INAYOWAINGIZIA RIZKI Lakini na wao wanahitaji kuheshimiwa na sio kufukuzwa kila leo au wengine wanaacha sabab wamepuuzwa, kina dina nao waliachishwa sijui nini havieleweki, sasa wanarudi ili aendelee kuwa juu, siku akipata wengine anakupiga tena chini na kukudharau mnapaswa muwaache na wao wakose muelekeo kama walivyowafanya nyie ili waone uchungu kiodogo.
 
Ndio maana wale waropokaji na pampula Hando na PJ waliamua kusanda mapema ili kukwepa aibu.Fundi karudi wangekosa namba tu.
Laiti unegejua hali wanaoyopitia clouds usingesema hayo
 
Wale watangazaji wanapaswa wasirudi kuipa nguvu Clouds ili ione thamani ya wafanyakazi, mana dezain wanavyoacha hao staff havieleweki, NAJUA NDIO KAZI INAYOWAINGIZIA RIZKI Lakini na wao wanahitaji kuheshimiwa na sio kufukuzwa kila leo au wengine wanaacha sabab wamepuuzwa, kina dina nao waliachishwa sijui nini havieleweki, sasa wanarudi ili aendelee kuwa juu, siku akipata wengine anakupiga tena chini na kukudharau mnapaswa muwaache na wao wakose muelekeo kama walivyowafanya nyie ili waone uchungu kiodogo.
Tatizo njaa km Kipanya alivyo furumushwa angekuwa anajielewa asinge rudi nahisi fina kagoma
 
bora aje masoud maana mimi yule fredwa wala simuelewagi
 
bora aje masoud maana mimi yule fredwa wala simuelewagi
sasa huyo fredwa kipind anaondoka RFA unaambiwa mabosi walimpigia hadi magoti lakn bdo alisepa na ndo alikta kama injini pale, jamaa ni bonge la mtangazaji sema tu kapewa kipndi kimoja na madem pale thats y.
 
yap nilikua namsikia kwenye kipindi cha asubuhi sikumbuki kilikiwa kinaitwaje na kilikuwa kinapendwa sana but tangu amehama RFA hang'ai tena alianzia timesfm na sasa clouds fm, daah hata ule ucheshi aliokua nao rfa haupo tena
 
bora aje masoud maana mimi yule fredwa wala simuelewagi

Huyo fredwa yupo dar lkn anatangaza kama yuko mwanza..angekuja dsm na umri mdogo angebadilika tatizo kaja mifupa hadi ya ulimi imeshakomaa...amebaki kuigiza kisukuma tu mwanzo wa kipindi mpaka mwisho..hatari sana
 
freddwaa naskia anapewa kipindi cha nyimbo za dini jumapili
 
Back
Top Bottom