Whau!nashukuru Masoud kwakunitoa gizani,kwani mimi ni mmoja wawashabiki wako,ipengine unaweza kuona kwamba nilikuwa najaribu kunusa kwanini hampo tena..
Sasa naanza kwa kusema,Hongera sana kwa uamuzi wa busara ulouchukua kwani umeonyesha ujasiri wa hali ya juu na asikudanganye mtu hiyo ndo njia pekee ya kutoka kimaisha kwani hakuna mtu aliyefanikiwa kimaisha bila kupitia kwenye chalenges zilizosimama kama iliyowakuteni nyie..wewe utaona tu ili mradi usikubali kurudi nyuma.
Pili wewe umeshajijengea jina kubwa so kwa kukaa kimya na bongo yetu hii unavyoifahamu wangezusha maneno mengi mwisho wangeishia kusema umeiba Clouds,Hongere..
Tatu asikudanganye mtu Clouds wivu binafsi umechangia kwani kosa waliolifanya watu wa kurusha matangazo siku hiyo ulinibore sana kisi cha kuwalaumu wewe na phina kuwa mmekuwa mstari wa mbele katika ku"take precautions"ilikuwaje mchemshe na mkijua mnaongea na BAlozi wa Dunia,na nyie mmejitangaza kwa mda kitambo yaani kwa wiki nzima?nikawa nawasubiria mkirudi katika kipindi niwape zenu,,nasikitika sikuwasikia tena.
Nne,Huyo mwenzenu aliyebaki wala msimlaumu kwani binadamu tunatofautina katika kufikri pengine angefuata ushauri wenu hivi sasa angekuwa Dukani kwako akisubiri umpe nauli ya kurudi nyumbani which is not fair na badae ungejilaumu kwa kumshauri.
Tano, asikudanganye mtu "Power Breakfast"imekufa toka siku ile kwani That programme it had nothing to do with Clods Programme rather watu walikuwa wanakisiliza kwa ajili ya MAsoud na Fina jinsi wanavyoonyesha vipaji vyao unless wachange jina kwani wasidhani wataziba Pengo,
tatizo naongea sana kwani nina machungu.CIAo