The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,675
- 2,807
Sasa nitaanza kusikiliza PB
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana wapo studio na wanatangazasikukuu ya wapumbafu leoo
Hapana wapo studio na wanatangaza
Ruge ni mjanja sana katika hili soko la Radio, anajua afanye nini katika kipindi kipi ili kulikamata sokoduh kama ni kweli bas haya ni mapinduzi makubwa kafanya boss Ruge
Eti kuna wadau wanadai PJ na GH wametumbuliwa!PJ Mbona sijamuona
Haaaa! Kumbe Babra pamoja na kisauti kitamu kile kumbe ni ki-piece cha fag? Na mbona FM naye kama ametoka kustushwa na kitu vile? Kwa kweli radio zinafichia watu mengi. Ukimsikia Babra kwenye PB utafikri bonge la m-mama!!Kipanya na Fina wamerudishwa rasmi clouds fm katika kipindi cha power breakfast. Wameeanza kazi leo na mwenye access ya clouds fm anaweza kuwasikiliza.
Hongera Ruge.
View attachment 333932
Kwa hapa bongo mwisho keshoMwisho saa nne tu mjue
Ni njaa tu... mengine yote mbwembwewamerudi wenyewe au wametafutwa! unajua wamesaini mikataba ya sh ngapi? au unalopoka tu...
TATATO, KAMOGA NI CCM PURE, yuko kichama sanaMasoudi anafaaa sana katika kipindi cha 360 katika uchambuzi na akina kamoga, angejumuika pale kipindi kinge kuwa hot sana!
kwani ninikilitokea mkuu wakati hawa watu wamesepeshwa mawingu na G Hando yu wapi siku hizi au nae katumbuliwaHando alishawahi kuwasaliti wenzako ie Phina na Kipanya sasa ni zamu yake,kama alifikiri kuwa yeye ni mungu Mdgo clouds basi imekula kwake
mkuu kwani kilichowaondoa pale naNjaaa kweli, ili iwaje?nini anataka kutuaminisha watanzania? Mnakumbuka sababu za hawa jamaa kusitishwa?Anaejiita boss wao alisemaje? Na leo anasemaje nini? Usipokuwa makini dunia hii utafanywa kiraka kila siku..! Sasa taswira gani anatuonesha?Nini anataka kutuamisnisha, anainua vipaji ?