mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 796
KWELI WAPO STUDIO MKUU, LKN NADHANI NI KWA MUDA TU...wale wadau wanakazi zaondo mambo ya siku ya wajinga au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KWELI WAPO STUDIO MKUU, LKN NADHANI NI KWA MUDA TU...wale wadau wanakazi zaondo mambo ya siku ya wajinga au?
ha ha haaaaaaa.ngoja siku hii iishe kwanza
Kesho katika Power Breakfast msishangae kuona PJ na Hando wanafanya mambo yao. Lengo ni kusherehekesha akili za wasikilizaji siku ya wajinga
ee bwana wewe uko na mimi, hando ni bonge la mtangazaji jinga, yaani na alisubiriwa siku hii hiiya wajinga akajiunge nao,, nakumbuka sana hando alipokuwa studio wenzake wakafanya fiongo moja, wakatemwa, hando akala kona....lkn siku ya leo fina na masoud wamenikumbusha enzi zaoHando alishawahi kuwasaliti wenzako ie Phina na Kipanya sasa ni zamu yake,kama alifikiri kuwa yeye ni mungu Mdgo clouds basi imekula kwake
Dah ila yule jamaa aliyekuwa anasoma magazeti, PJ kama sikosei, nilikuwa namkubali sanaa...Dah kwl hapa Ruge kacheza fresh
Masoud huwa anaibua tafakuriKipindi kimepooza sana,Bora walivyokua wazee sugu kina Hando na PJ.
Ndugu yangu mi Ni wa mkoani nitumie kapiicha bas, nataka nimuone Na huyo fredwaa, Na fina mangoKweli wapo pb, nawasikilizaa
Yeah pj yuko vizur sana sema huwa masoud na finna ni wakongwe wa hiki kipindi.Dah ila yule jamaa aliyekuwa anasoma magazeti, PJ kama sikosei, nilikuwa namkubali sanaa...
It's a fickle bitch!Karma is a bitch!
PJ Mbona sijamuonaKwa ufupi leo PB imepwaya sana! PJ na Hando walikuwa wananogesha sana hili pindi! Magazeti yamesomwa utafikri Gabriel Zakaria wa TBC!