Ila Fina Mango kabadilika amekuwa wa njano,wenzake wakitoka kwenye weusi wanakuwa weupe yeye amekuwa wa njano.
Awe wa njano au vipi, I don't care, I for one I like intelligent girls/women
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Fina Mango kabadilika amekuwa wa njano,wenzake wakitoka kwenye weusi wanakuwa weupe yeye amekuwa wa njano.
Kweli wapo pb, nawasikilizaando mambo ya siku ya wajinga au?
Karma is a bitch!Hando alishawahi kuwasaliti wenzako ie Phina na Kipanya sasa ni zamu yake,kama alifikiri kuwa yeye ni mungu Mdgo clouds basi imekula kwake
Kama ilivyokua kwa Ombeniwako live kweli ila hatujui hao wengine wameondoka au wamepewa majukumu mengine. mpaka baadae...
Wapige mshikoMmmmh wapige hela
kweli.. ndio ajira za kisasa za waajiri wetu, wanatubadilisha kama mahindi ya kuchoma....Hawa watu niliwamisi sana karibuni sana power breakfast watu wanaweza kusema hili na lile kln nyie mmeletwa kwa mikataba minono Fina from abroard na Kipanya from Private owned company pigen hela
Piga hela kwa malengokweli.. ndio ajira za kisasa za waajiri wetu, wanatubadilisha kama mahindi ya kuchoma....
Kipanya na Fina wamerudishwa rasmi clouds fm katika kipindi cha power breakfast. Wameeanza kazi leo na mwenye access ya clouds fm anaweza kuwasikiliza. Hongera Ruge
Ahsante mkuu. Mana leo ni siku ya hovyo kabisa!ngoja siku hii iishe kwanza