Masoud Kipanya na Fina Mango warejea Clouds FM na kuongoza Power Breakfast

Masoud Kipanya na Fina Mango warejea Clouds FM na kuongoza Power Breakfast

Oh I will miss PJ and G. Hando! their strong voluminous voices!
 
Kipanya namkubal sana. Amelipwa bei gan lakin? Maana alifukuzwa kama house girl akaamua kufa kijerumani na sasa amerudi kama shujaa
 
Hawa watu niliwamisi sana karibuni sana power breakfast watu wanaweza kusema hili na lile lakini nyie mmeletwa kwa mikataba minono Fina from abroard na Kipanya from Private owned company pigen hela
 
Binafsi naikubali sana combination ya Masoud na Fina. Hongera sana Clouds,Hongera sana Powerbreakfast,Babra na Bonge hongereni sanaaaaaaa
 
Hawa watu niliwamisi sana karibuni sana power breakfast watu wanaweza kusema hili na lile kln nyie mmeletwa kwa mikataba minono Fina from abroard na Kipanya from Private owned company pigen hela
kweli.. ndio ajira za kisasa za waajiri wetu, wanatubadilisha kama mahindi ya kuchoma....
 
Wana chemshwa bongo wajinga walio kua wanasema walifukuzwa na hawapatani na clouds media ..kwahyo wamerudshwa kumbe wanafanya leo tu na hawana bifu lolote.....
 
Kesho katika Power Breakfast msishangae kuona PJ na Hando wanafanya mambo yao. Lengo ni kusherehekesha akili za wasikilizaji siku ya wajinga
 
Back
Top Bottom