Masoud Kipanya na Fina Mango warejea Clouds FM na kuongoza Power Breakfast

Kama hao waliondoka na wamerudi basi hata wakina paul jems na mwezie Hando wanaweza kulejea tu kikubwa ni mda ukifika
 
Clouds FM na TV ni wabunifu sana katika kuandaa vipindi vyao si vibaya Radio FM's na TV's nyingine kuwaiga.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Nimefarijika sana kuwaona tena Masoud Kipanya na Fina kurejea Clouds,japo muonekano wa Fina sijaupenda ( maana mimi ninawasikiliza kupitia tv nawaona live )
 
Kipanya na Fina wamerudishwa rasmi clouds fm katika kipindi cha power breakfast. Wameeanza kazi leo na mwenye access ya clouds fm anaweza kuwasikiliza.

Hongera Ruge.
View attachment 333932
Haaaa! Kumbe Babra pamoja na kisauti kitamu kile kumbe ni ki-piece cha fag? Na mbona FM naye kama ametoka kustushwa na kitu vile? Kwa kweli radio zinafichia watu mengi. Ukimsikia Babra kwenye PB utafikri bonge la m-mama!!
 
Masoudi anafaaa sana katika kipindi cha 360 katika uchambuzi na akina kamoga, angejumuika pale kipindi kinge kuwa hot sana!
 
Hando alishawahi kuwasaliti wenzako ie Phina na Kipanya sasa ni zamu yake,kama alifikiri kuwa yeye ni mungu Mdgo clouds basi imekula kwake
kwani ninikilitokea mkuu wakati hawa watu wamesepeshwa mawingu na G Hando yu wapi siku hizi au nae katumbuliwa
 
mkuu kwani kilichowaondoa pale na
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…