Masoud Kipanya na Fina Mango warejea Clouds FM na kuongoza Power Breakfast

Masoud Kipanya na Fina Mango warejea Clouds FM na kuongoza Power Breakfast

Hivi katika picha fina mango ni yupi hapo kati ya mwenye dred na huyu mfupi mno
 
Yaelekea hii kipind hakina wasikilizaji wanaoelewa mambo

MI asubui yangu huanza na Radio one stereo

Tumie omary
Neema kindole
Na brother Moja akichombeza kwa mbali
Mie mwenyewe huwa nawasikiliza hawa asubuhi.
 
Back
Top Bottom