KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Usipotoshwe na mleta mada, Masud ana series yake ya kifo cha mabasi ya mwendokasiMassoud Kipanya anatukosea wakristo. Yeye ni Muslim. Bible inasema, ya kaisari mwachie kaisari. Ndio mkuu wa KKT alidhibitisha. Kuja na katuni kama hiyo ni kwenda kunyume na biblia. Wakristo wote wanaohijua kweli huwa hawapambani na kaisari. Kipanya kabla ya kutoa katuni awaulize wakristo wa kweli.