Oooh Dingilii kumbe umesomea izi Mbanga!!Bas tuko pamoja unaeza nipatia ushauri wa hapa na pale kuhusu hii taaluma,coz namimi nasomea izi mbishe asee!zainabu chondo demu yuko makini sanaaa,nilipita nae pale K.I.U kwa mseven tukichukua degree yetu ya mass communication. yuko vizuri hahhaa mi nimeishia kuwa nyaparaaa
mbna kwangu siion mkuuNa leo wamerudisha tv e
Adrian Stepp yupo channel gani now! nilikuwa namfatilia sana wakati yupo kwa Mengi.Azam kunani? Mbona watangazaji wanazidi kukimbia? Inawezekanaje Hillary Step akimbie Azam aende kuajiriwa kwenye Online TV ya youtube? Zainab Chondo kakimbia ,Wasiwasi Mwabulambo kakimbia ,KUNANI AZAM?
Azam kunani? Mbona watangazaji wanazidi kukimbia? Inawezekanaje Hillary Step akimbie Azam aende kuajiriwa kwenye Online TV ya youtube? Zainab Chondo kakimbia ,Wasiwasi Mwabulambo kakimbia ,KUNANI AZAM?
Mi Zai macho tu yale jaman!!zainabu chondo demu yuko makini sanaaa,nilipita nae pale K.I.U kwa mseven tukichukua degree yetu ya mass communication. yuko vizuri hahhaa mi nimeishia kuwa nyaparaaa
Walishindwa kumlipa gef lea watawaweza hao wakubwa ila azam ni wabahili sio kwenye media wala bidhaa zao wafanyakazi wanalipwa pesa ndogo SanaAzam kunani? Mbona watangazaji wanazidi kukimbia? Inawezekanaje Hillary Step akimbie Azam aende kuajiriwa kwenye Online TV ya youtube? Zainab Chondo kakimbia ,Wasiwasi Mwabulambo kakimbia ,KUNANI AZAM?
Azam kunani? Mbona watangazaji wanazidi kukimbia? Inawezekanaje Hillary Step akimbie Azam aende kuajiriwa kwenye Online TV ya youtube? Zainab Chondo kakimbia ,Wasiwasi Mwabulambo kakimbia ,KUNANI AZAM?
Yupo kwa sister Maria Sarungi....KWANZA TV.Adrian Stepp yupo channel gani now! nilikuwa namfatilia sana wakati yupo kwa Mengi.
Udini kivipi? Wanafeva Dini gani? Zainab Muislam na Adrian Mkristo wote wamekimbia.UDINI
Kibongobongo udini unakua pale Waajiriwa wengi wakiwa wavaa baraghashia ila ikiwa vice versa tunaanza kuangalia kabila;Yaani wavaa Rosari wakiwa wengi ofisi moja tunaanza kusema ile ofisi ina Uchaga,Usukuma,Uhaya nkUdini kivipi? Wanafeva Dini gani? Zainab Muislam na Adrian Mkristo wote wamekimbia.
unaweza ukawa muislam ila sio mdiniUdini kivipi? Wanafeva Dini gani? Zainab Muislam na Adrian Mkristo wote wamekimbia.
pamojaExactly chaliangu,na ITV pia'IPP Media'