Ngareroo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2019
- 2,123
- 2,449
- Thread starter
- #21
Oooh Dingilii kumbe umesomea izi Mbanga!!Bas tuko pamoja unaeza nipatia ushauri wa hapa na pale kuhusu hii taaluma,coz namimi nasomea izi mbishe asee!zainabu chondo demu yuko makini sanaaa,nilipita nae pale K.I.U kwa mseven tukichukua degree yetu ya mass communication. yuko vizuri hahhaa mi nimeishia kuwa nyaparaaa