Masoud Kipanya na Zainab Chondo ndani ya 'Mtazamo' Clouds Plus

zainabu chondo demu yuko makini sanaaa,nilipita nae pale K.I.U kwa mseven tukichukua degree yetu ya mass communication. yuko vizuri hahhaa mi nimeishia kuwa nyaparaaa
Oooh Dingilii kumbe umesomea izi Mbanga!!Bas tuko pamoja unaeza nipatia ushauri wa hapa na pale kuhusu hii taaluma,coz namimi nasomea izi mbishe asee!
 
Azam kunani? Mbona watangazaji wanazidi kukimbia? Inawezekanaje Hillary Step akimbie Azam aende kuajiriwa kwenye Online TV ya youtube? Zainab Chondo kakimbia ,Wasiwasi Mwabulambo kakimbia ,KUNANI AZAM?
Adrian Stepp yupo channel gani now! nilikuwa namfatilia sana wakati yupo kwa Mengi.
 
zainabu chondo demu yuko makini sanaaa,nilipita nae pale K.I.U kwa mseven tukichukua degree yetu ya mass communication. yuko vizuri hahhaa mi nimeishia kuwa nyaparaaa
Mi Zai macho tu yale jaman!!
 
Azam kunani? Mbona watangazaji wanazidi kukimbia? Inawezekanaje Hillary Step akimbie Azam aende kuajiriwa kwenye Online TV ya youtube? Zainab Chondo kakimbia ,Wasiwasi Mwabulambo kakimbia ,KUNANI AZAM?
Walishindwa kumlipa gef lea watawaweza hao wakubwa ila azam ni wabahili sio kwenye media wala bidhaa zao wafanyakazi wanalipwa pesa ndogo Sana
 
Mshahara ndo tatizo
Azam kunani? Mbona watangazaji wanazidi kukimbia? Inawezekanaje Hillary Step akimbie Azam aende kuajiriwa kwenye Online TV ya youtube? Zainab Chondo kakimbia ,Wasiwasi Mwabulambo kakimbia ,KUNANI AZAM?
 
Udini kivipi? Wanafeva Dini gani? Zainab Muislam na Adrian Mkristo wote wamekimbia.
Kibongobongo udini unakua pale Waajiriwa wengi wakiwa wavaa baraghashia ila ikiwa vice versa tunaanza kuangalia kabila;Yaani wavaa Rosari wakiwa wengi ofisi moja tunaanza kusema ile ofisi ina Uchaga,Usukuma,Uhaya nk
 
Back
Top Bottom