Ana miaka 51 yrs very bright personNi mtanzania anaeweza kuthubutu kufanya Jambo na likafanikiwa. Ana confidence. Ana uelewa Mpana katika masuala mbalimbali n.k
Mwenye kujua historia yake hasa kuhusu masuala ya elimu,ujuzi, vyuo alivyopitia,kampuni alizowahi kufanya kazi n.k atujuze tafadhali
Wapi jamaa kauliza miaka mkuu?Ana miaka 51 yrs very bright person
Hivi yale magari yake yaliishia wapi[emoji38]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hamna mtu mle, labda kwenye vibonzo ndo geniusHivi yale magari yake yaliishia wapi[emoji38]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kujua historia yamtu umri haukwepekiWapi jamaa kauliza miaka mkuu?
KipajiNi Mtanzania anaeweza kuthubutu kufanya Jambo na likafanikiwa. Ana confidence. Ana uelewa Mpana katika masuala mbalimbali n.k
Mwenye kujua historia yake hasa kuhusu masuala ya elimu, ujuzi, vyuo alivyopitia, kampuni alizowahi kufanya kazi n.k atujuze tafadhali.
Mbogo hawezi kukuungisha, jua hiloHivi yale magari yake yaliishia wapi[emoji38]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app