Masoud Kipanya ni Mtanzania mwenye uthubutu

Masoud Kipanya ni Mtanzania mwenye uthubutu

Seth seth

Senior Member
Joined
Jan 2, 2022
Posts
106
Reaction score
150
Ni Mtanzania anaeweza kuthubutu kufanya Jambo na likafanikiwa. Ana confidence. Ana uelewa Mpana katika masuala mbalimbali n.k

Mwenye kujua historia yake hasa kuhusu masuala ya elimu, ujuzi, vyuo alivyopitia, kampuni alizowahi kufanya kazi n.k atujuze tafadhali.
 
Ni mtanzania anaeweza kuthubutu kufanya Jambo na likafanikiwa. Ana confidence. Ana uelewa Mpana katika masuala mbalimbali n.k

Mwenye kujua historia yake hasa kuhusu masuala ya elimu,ujuzi, vyuo alivyopitia,kampuni alizowahi kufanya kazi n.k atujuze tafadhali
Ana miaka 51 yrs very bright person
 
Katika watu ambao najifunza mengi kwao ni masoud.
 
Hivi yale magari yake yaliishia wapi[emoji38]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

nilimsikia juzi anasema amepata order 20 nchi jirani na mpka marekani kapata order 2 kutoka kwa diaspora kwasababu ni bei rahisi na marekani EV inaweza ikacost hata million 100 Tsh na masoud yake ni 10 million.

Baada ya miaka 5 itakuwa kampuni kubwa, wakati ananza watu walimcheka mpka wale watu wa TBS ila ukiwa na malengo daima haurudi nyuma.

Inspiration is for those with Dreams
 
Ni Mtanzania anaeweza kuthubutu kufanya Jambo na likafanikiwa. Ana confidence. Ana uelewa Mpana katika masuala mbalimbali n.k

Mwenye kujua historia yake hasa kuhusu masuala ya elimu, ujuzi, vyuo alivyopitia, kampuni alizowahi kufanya kazi n.k atujuze tafadhali.
Kipaji
 
Wanampiga majungu kinoma watu wa vitengo wakidai analeta ujanja ujanja badala ya kumsapoti.
 
Kuna wat weng wako kweny system ila hawajaui INNOVATION na changamoto zake practise make perfect na ni kweli ipo siku masoud itatoboa mana marcedes benz ya kwanza na ya leo ukiangalia ndo utajua as you go will perfect the product by learning on mistakes amd making improvements.
 
Back
Top Bottom