Kiparuanda
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,587
- 2,389
Ila jamaa pia ana chai chai nyingi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika!Ila jamaa pia ana chai chai nyingi sana
Kuna bwana mmoja anaitwa Miguel Suleiman. Alikuwa akiandika makala za muziki katika gazeti la The Guardian, Nipashe na mengine ya IPP.Huyu mwamba ametisha sana akuna wa kumkaribia hata chembe.
Kipindi chake kipo muda Gani?Wanamwita manju wa muziki. Huyu ni mtangazaji mkongwe na nguli wa maswala ya muziki na wanamziki, kupitia TBC.
Ukimsikiliza Masoud, utaelewa umuhimu wa specialization katika utangazaji, uandaaji vipindi na uandishi habari kwa ujumla.
Masoud anaelewa ni nini anachofanya na kwa muktadha muafaka.
Ukifuatia simulizi zake kimuziki sio tu zina mizania ya kimantiki bali pia zina mtiririko kama movie fulani hivi inayokushawishi kuendelea kuitazama uone mwisho wake.
Masoud Masoud ni nani?
Uzi tayari
Hapo CCM wametuweza dadeki, Yani sauti zinapiga Kura.😀😀Sasa Nitawahoji......
Machinga uenda na upepo kuwahi pesa.Ukiwaambia vijana wafanye specialization ya Music na kuwa proffessional hawataki na hawana Interest wao wanapenda kuchukuliwa na Upepo, ikija Amapiano twende, ikija nini twende, yani mwendo wa kutoa Copy tuu... Aliwa kusema huyu Manju wa Music ukiuliza sisi Mziki wetu ni upi wala hutapata jibu.. anaeleza Music wa Nchi ya Congo umepata hadhi na UNESCO kupewa hadhi ya Urithi wa Africa, sasa sisi sijui... Bongo fleva, Taarabu, Singeli, Mziki wa Dansi bado hakuna wa kuundeleza...
Saa ngapi kipindi chake,?
Hajui kitu huyooUna uhakika!
Humjui wewe....Ila jamaa pia ana chai chai nyingi sana
heshima kwake🙏.Kuna bwana mmoja anaitwa Miguel Suleiman. Alikuwa akiandika makala za muziki katika gazeti la The Guardian, Nipashe na mengine ya IPP.
Pia alikuwa akialikwa Radio One miaka ya nyuma kuchambua Muziki.
Huyu hata Masoud Masoud anamjua. Ni gwiji wa muziki ambaye ameufanyia tafiti katika sehemu kadhaa duniani.
Kwa sasa sijui yupo wapi. Ila kwangu Huyu ndiye Hana mpinzani. Wengi nadhani hawamjui.
Aliwahi kufundisha Somo la lugha ya kifaransa katika shule ya sekondari Forodhani miaka ya nyuma.
Shule ya Forodhani wanaijua wahenga wenzangu tu.
Wanamwita manju wa muziki. Huyu ni mtangazaji mkongwe na nguli wa maswala ya muziki na wanamziki, kupitia TBC.
Ukimsikiliza Masoud, utaelewa umuhimu wa specialization katika utangazaji, uandaaji vipindi na uandishi habari kwa ujumla.
Masoud anaelewa ni nini anachofanya na kwa muktadha muafaka.
Ukifuatia simulizi zake kimuziki sio tu zina mizania ya kimantiki bali pia zina mtiririko kama movie fulani hivi inayokushawishi kuendelea kuitazama uone mwisho wake.
Masoud Masoud ni nani?
Uzi tayari
hawa tbc siwapati kabisa online sijajua kama unatumia njia gani mkuuView attachment 2875772
Nime set kabisa reminder kila Thursday saa 8 mchana nakua namsikiliza wakati napata msosi
Marudio ni saa 6 mchana jumapili
Kipindi cha mwisho kumsikiliza alimchambua Marehemu Zahara na Loliwe yake yaani ikawa ni kama naangalia movie vile
Masoud ni bonge moja la narrator
Angalia post ya juu, au nenda YouTube. Alishaelezea mengi kuhusu maisha yake. Huyu ni raslimali ya Taifa letu. Siyo hawa washenzi kina Kitenge, wanaongeoa kama cherehani lakini hakuna cha maana..
Mshawishini awemo humu,,tumuhoji,,,tutapata meeengi ambayo yatahifadhika humu,SI unajua kila nafsi inakaburi lake.
Ndugu yangu hii nchi viongozi wengi wanapata nafasi zao kwa kubebwa au awe Chawa,kwa Aina hiyo hatuwezi Pata kiongozi mwenye maono ya mbali kabisa kwa nchi hiiHuyu Bwana kama angepata wadhamini au Serikali ikamsaidia kutekeleza Mawazo yake hasa tungeweza kuwa na pakuanzia, Wizara ya Utamaduni wangeona ni wapi huyu bwana anaweza kufiti na kuanzisha vionjo vya Music wa Tanzania