maabara
Member
- Feb 20, 2024
- 35
- 64
Siku moja nilikuwa nimechoka sana,nilihitaji kulala mapema,usiku saa nne kuelekea saa Tano,Sina uhakika nikasikia akimuelezea mwanamama wakuitwa Kluthum,aisee........usingizi ulikatika nikatamani kiendelee Hadi asubuhi. Mara sauti yake Insikika umbali wa MITA ngapi na nyembamba kiasi gani na upana kiasi gani na uzito kiasi gani. Jamaa kabarikiwa