Masoudy kipanya Vs Hassan mpangala

Masoud Kipanya ni habari nyingine. Mshindanishe Kipanya na heavyweight wenzake waliobobea kwenye uchoraji wa katuni za siasa. Mfananishe Kipanya na wachoraji kama Godfrey Mwampembwa aka Gado. Huyu ni mtanzania mchora katuni wa gazeti la The Guardian huko Nairobi Kenya. Zifuatazo ni baadhi ya kazi zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…