Masoudy kipanya Vs Hassan mpangala

Masoudy kipanya Vs Hassan mpangala

Ngushi

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Posts
9,065
Reaction score
18,358
Habari ya wikend wakuu......
Kuna hawa watu niliowataja hapo juu wote ni wachoraji wa katuni wazuri
Masoudy kipanya huyu huchora katuni kwenye gazeti la mwananchi ukiachilia mbali kama CEO wa Maisha plus katuni zake huwa zinafurasha sana........
Lakini huyu mwingine Nathan Mpangala huyu mara nyingi katuni zake huwa wakati taarifa ya habari ya ITV inaishia,nae katuni zake huwa ni nzuri........
Sasa yupi kati ya hawa ubunifu wake katika uchoraji huwa unakuvutia sana hasa ukizingatia wakati mwingine huwa na maudhui yanaendani mfano, michezo,siasa,uchumi n.k

Karibuni tujadili huku tukiukaribisha mwaka mpya......
 
Title tu inaonyesha unasimuliwa hizo habari za katuni hivi anaitwa Hassan ? na Masoudy ?
 
Ninaphitaji tafakari ya kina namkubaki MASOUD ALLY KIPANYA,katuni ni wakala wa fukra zako,uwezo unaonekana kwenye ujumbe uliotolewa,naamini Masoud anatafakari pana zaidi ya Nathan
 
kipanya is the best
KP.jpg
 
Unamfananishaje Kp na vitu visivyojulikana... Kp anaitendea haki fani yake
 
unamlinganidha madoud na nan?? simply masoud is the best
 
hivi James yule wa katuni ya kimya kimya yupo wapi?
 
Back
Top Bottom