Massage ni danguro lililochangamka

Massage ni danguro lililochangamka

Wapenzi fanyianeni massage,Kama hamjui jinsi ya kufanya kajifunzeni kwenye akaunt ya jando na unyago.
 
Kuna dada mmoja aligundua mume wake ni mteja mzuri wa massage parlour, alichofanya kwa siri alikwenda kuomba kazi lakini alikua mkweli alisema hana experience. Walimpa wiki moja ya training baada ya training hakurudi tena alianza kumfanyia mume wake nyumbani.
Safi sana..
 
Inabd wanawake wajifunze tunaingia sana majarbun
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ukome
 
Noma sana hio kitu! Ni full Vishawishi. B2B nadhani zote huwa ni mahali pengne sio ndani ya saluni. Na B2B 99% huwezi kutoka salama.
Ila sijui kama hawa wadada wa hizi barber shop wengi huwa wana wanaume zao permanent sababu hakuna mwanaume atakayekubali mwanamke wake Afanye kazi saluni ya kiume.
 
Eti happy ending ...kuna wengine wako dodoma aisee wale ndo balaaa....sitokuja kwenda kule tena.....Yani unatengenezewa mazingira ya kushawishika....

Kwanza picha la kikorea linaanza kabla hata ya kuvua nguo wanajipanga mabinti 6 eti uchague wa kukufanyia massage ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....Aiseee hii dunia hapana
Maeneo gani hayo mkuu
 
Back
Top Bottom