Massage ni danguro lililochangamka

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie sijui ni ulimbukeni au nini, kelele nyiiingi. Sie tunaenda kimya kimya na kurudi kimya kimya tukiwa relaxed tunaendelea na kazi za kulijenga taifa.
Nimependa iyo kimya kimya.

Inaonekana Unajua unachokifanya.
 
Nyie sijui ni ulimbukeni au nini, kelele nyiiingi. Sie tunaenda kimya kimya na kurudi kimya kimya tukiwa relaxed tunaendelea na kazi za kulijenga taifa.
Asee! hlf unasema umeolewa..
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ujue hadi najibu nikajua nakujibu wewe! Ila nikawaza hii avatar huyu mwanamke sasa anakoelekea siko!! Ndio kusoma vizuri kumbe sio wewe bwana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka mno.. Ujue hata siku niliiyona nikashangaa.. Nikajiuliza no saa ngapi nimecomment kwenye hiu uzi.. kuchek vizuri kumbe siyo..
Itanibidi niangalie namna kwa kweli..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hadi wewe unajivuruga!! Umekuwa mimi nilipobadili avatar nikawa najisahau hata mimi mwenyewe[emoji2297]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hadi wewe unajivuruga!! Umekuwa mimi nilipobadili avatar nikawa najisahau hata mimi mwenyewe[emoji2297]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni balaa.. Maana unakutana na vitu kadha wa kadha unakuwa hujavizoea.. [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina Safari ya Uko Dodoma Week Ijayo Mkuu.
NIPE LOCATION YA UKO DODOMA
 
vijana tuoe ... au ukioa hupati mautamu kama hayo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…