Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo wateja wa massage ni wanaume tu?
Nyie sijui ni ulimbukeni au nini, kelele nyiiingi. Sie tunaenda kimya kimya na kurudi kimya kimya tukiwa relaxed tunaendelea na kazi za kulijenga taifa.