life to be
Senior Member
- May 6, 2016
- 154
- 71
Ninajisikia nifanyiwe massage leo naomba mnisaidie sehemu nayoweza kupata huduma Bora na kwa Bei ya kawaida, plz
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenzenu nipo serious jaman,msinitanieNgoja nije nikufanyie massage [emoji847][emoji847]
Mikocheni sehemu gani nduguMikocheni zimejaa kibaoooo huku. Mpaka na good ending[emoji23][emoji23]
Kuna jamaa angu alikua anapita na gari akaniona nakatiza kwa mguu mitaa ya hizo massage akajua na miye mtumishi wa huko bwana[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui ni kwann huku mikocheni wameamua kugeuza sana nyumba zao into this busness. Huenda inalipa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo alikuwa anatafuta gia tu kwako, ulimkubalia?Mikocheni zimejaa kibaoooo huku. Mpaka na good ending[emoji23][emoji23]
Kuna jamaa angu alikua anapita na gari akaniona nakatiza kwa mguu mitaa ya hizo massage akajua na miye mtumishi wa huko bwana[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui ni kwann huku mikocheni wameamua kugeuza sana nyumba zao into this busness. Huenda inalipa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uuh..!! Lah lah..Ngoja nije nikufanyie massage [emoji847][emoji847]
Uuh..!! Lah lah..
Sent using Jamii Forums mobile app