Woi.....pole sana.Wenye akili zao wamenielewa kasoro ******....teh teh teh,
Don't think you can fool everyone.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Woi.....pole sana.Wenye akili zao wamenielewa kasoro ******....teh teh teh,
Na hivi vita vyenyewe si JIHAD as JIHAD, wanaoviita JIHAD wanakosea sana. Hivi ni vikundi haram vya kijinga tu.
Naona povuu la nyangau....teh teh te...huu mchezo hauhitaji hasira.
Ukweli. Wacha wakae huko.Wachana naye 1 Africa hatutamforce aamini anacho taka Kisii kisumu kakamega ma nakumatt kibao Mbona muanze kubishana!!!
Watakuja Kenya wachache washangae warudi kwa aibu!
Wachana naye 1 Africa hatutamforce aamini anacho taka Kisii kisumu kakamega ma nakumatt kibao Mbona muanze kubishana!!!
Watakuja Kenya wachache washangae warudi kwa aibu!
we ata wajua waongea nni?daah....usijidai kuijua kenya ukajiaibisha bure.aliyekwambia kwaishi wazungu huku nnani?infact wajua population ya wazungu kenya haswa nai ni ngapi?dogo bana mambo mengine usiongee ukaanika ulimbukeni wako hadharaniMalls zote kubwa huko Kenya zimejengwa kwenye makazi ya Wazungu tu au Ubalozini kwasababu waliojenga/wawekezaji ni wazungu wenyewe. Teh Teh Teh...
Ni Tuskys supermarket tu ya mkikuyu na vile vidogo kama Masai Mall ndio zipo uswazi.
Hahaha.....!!! Kweli wazungu ndio wanaishi Kenya ila wengine wanaigiza.
Hahaha....nikiona povu hivyo basi najua "Ukweli Umekuuma"we ata wajua waongea nni?daah....usijidai kuijua kenya ukajiaibisha bure.aliyekwambia kwaishi wazungu huku nnani?infact wajua population ya wazungu kenya haswa nai ni ngapi?dogo bana mambo mengine usiongee ukaanika ulimbukeni wako hadharani
Kibarangoto ndio nini nyang'au? Sema kiparangoto...sina haja ya kujilinganisha na nchi hiyo iliyoendelezwa na Wazungu ambao mpaka sasahv ndio wanaoishi ubalozini na ushuani, halafu weusi mwaishi maeneo sawia na Kibera na Rongai.Wewe kweli ni kibarangotho...Hasira hamnazo.Wewe ndo unajikaza sana uwe relevant
Your desparation makes me pity your life.Hahaha....nikiona povu hivyo basi najua "Ukweli Umekuuma"
Kenya Imeendelezwa na bado inaendelezwa na wazungu, ndio maana miji iliyoendelea mfano
"Lavington, Hurlingham, Karen na Muthaiga" huko wanaishi matajiri ambao ni "WAZUNGU"
Teh Teh Teh......huko Kibera na Rongai unafikiri utakuta wakazi wa kizungu wengi?
povu likowapi jomba.wacha kujishuku....sidhani kama hata ushawahi fika nairobi..tuanzie na hili swali...two rivers yajengwa na nani?I mean the investorsHahaha....nikiona povu hivyo basi najua "Ukweli Umekuuma"
Kenya Imeendelezwa na bado inaendelezwa na wazungu, ndio maana miji iliyoendelea mfano
"Lavington, Hurlingham, Karen na Muthaiga" huko wanaishi matajiri ambao ni "WAZUNGU"
Teh Teh Teh......huko Kibera na Rongai unafikiri utakuta wakazi wa kizungu wengi?
Umeishiwa hoja sio?Your desparation makes me pity your life.
Hahaha ...nimeishi Nairobi over 3 yrs, rented houses in many street over there so I surely know what m talking about, na huu mchezo hauhitaji hasira mkuu.povu likowapi jomba.wacha kujishuku....sidhani kama hata ushawahi fika nairobi..tuanzie na hili swali...two rivers yajengwa na nani?I mean the investors
Hapana..your level of jealousy surprises me.Umeishiwa hoja sio?
Kosa lako ni hapo unapofikiri kuwa nawaonea wivu wakenya, Not true at all, well I know Gateway mall which is along Mombasa - Nairobi road, I know n I hv shopped at Mulleys except Kiamba mall.Hapana..your level of jealousy surprises me.
In Masaku(Machakos) there is;
Gateway mall, crystal waters, kiamba mall, Mulleys just to name e a few I see by the road..... Do you see whites there??
Please, go first.Kosa lako ni hapo unapofikiri kuwa nawaonea wivu wakenya, Not true at all, well I know Gateway mall which is along Mombasa - Nairobi road, I know n I hv shopped at Mulleys except Kiamba mall.
Ili kujiridhisha na kuudhihirisha umma ukweli wako, hebu put some evidences to us that the malls are owned by pure black kenyans, kisha namimi nitaleta ushahidi hapa.
Kibarangoto ndio nini nyang'au? Sema kiparangoto...sina haja ya kujilinganisha na nchi hiyo iliyoendelezwa na Wazungu ambao mpaka sasahv ndio wanaoishi ubalozini na ushuani, halafu weusi mwaishi maeneo sawia na Kibera na Rongai.
Hahaha ...nimeishi Nairobi over 3 yrs, rented houses in many street over there so I surely know what m talking about, na huu mchezo hauhitaji hasira mkuu.
Again, I had been working with so many projects in ua prominent's premises hence I undesrstand what your fellow kenyans owns.
Acha ujinga wewe..huoni aibu?Hahaha....nikiona povu hivyo basi najua "Ukweli Umekuuma"
Kenya Imeendelezwa na bado inaendelezwa na wazungu, ndio maana miji iliyoendelea mfano
"Lavington, Hurlingham, Karen na Muthaiga" huko wanaishi matajiri ambao ni "WAZUNGU"
Teh Teh Teh......huko Kibera na Rongai unafikiri utakuta wakazi wa kizungu wengi?